Wakati Yanga ikiendelea na harakati za kujiandaa na mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo, ghafla kumeibuka mtafaruku baina ya nyota wa timu hiyo, Mrundi, Amissi...
Kwa kweli sasa inatosha. Huyu msemaji wa Yanga amekuwa akiidhalilisha TFF anavotaka kwa kuwafanya TFF kama mazuzu yaani hawajui chochote katika uongozi wa soka. Inavoonekana uongozi wa TFF...
Mshambulizi wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amestaafu kutoka soka ya kimataifa.
Mchezaji huyo bora zaidi duniani alitangaza hatua hiyo baada ya kukosa penalti iliyoiwezesha Chile kuilaza...
This was to have been the match that sealed Lionel Messi’s legacy. The one that silenced the doubters, that killed off the question mark hanging over his greatness, that gave him his place in the...
Amerika ya kusini kumekucha.Mashindano ya mataifa ya amerika ya kusini yameanza.Jionee mwenyewe yote yaliyojiri katika mashindano hayo.
Utaweza kuwaona nyota wote wanaowika barani ulaya kutoka...
Katika mtanange wa makundi kombe la dhirikisho klabu ya yanga itachuana na Tp Mazembe katika uwanja wa taifa!!
Je kuelekea mtanange huo kuna haja ya Yanga kutaka mashabiki wa timu hiyo pekee...
1. The television rights belong to CAF. For every live transmission of a match, the host association shall pay to CAF, the following charges:
1.1 Preliminary matches and 1/16th final matches...
Katika hali ya kushangaza na ile hali ya kuendelea kwa mivutano kati ya CAF, TFF, AZAM TV na YANGA kuendelea kukomoana.
katika taharifa iliopatikana kwenye page ya Facebook ya Naipenda YANGA...
Taarifa kwa vyombo vya habari
Awali ya yote klabu inaendelea kutoa pongezi kwa ndugu zetu waislaam wanaoendelea kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani tunaamini Mwenyezi Mungu atawalipa malipo mema...
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limesema kwamba, makanjanja (watu wasio na ujuzi wala elimu ya michezo) ndio waliochangia kuporomoka kwa michezo hiyo nchini, FikraPevu inaripoti.
Katika...
Wanajf habari
nikiwa kama mshabiki wa timu ya yanga nimefeheka sana baada ya kumsikia mwenyekiti wa mtani wetu simba akitoa tahadhari namna tutakapomchezesha kessy mimi napata tabu sana inamaana...
Timu ya soka ya Vijana ya Shelisheli, inatarajiwa kuingia Dar es Salaam, Tanzania kesho saa 7.45 usiku (usiku wa kuamkia Ijumaa Juni 24, 2016), kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Taifa ya Vijana...
Ni kauli aliyomaliza nayo Jerry Muro kwenye mahojiano yake na Clouds fm.
Hawa viongozi wetu wa mpira tulionao kama akina Jerry kamwe hawawezi kuendeleza mpira wetu kwa kushindwa kutofautisha...
Huyu mtangazaji wa Azam tv anayetangaza mpira baina ya Simba na URA ni hovyo hawezi kuwataja wachezaji wa URA anaishia kusema haya unapigwa kule mbele mpira, unapelekwa kule mbele, unapandishwa...
June 26, 2016
Manchester United and Real Madrid will need to smash the world transfer record to sign Paul Pogba if Juventus agree to sell the France midfielder this summer.
United are...
For the love of Volleyball game, i would like to establish a small 'club' where we can meet and play twice or thrice a week depending on our availability.
I kindly invite interested and motivated...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.