Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na pia ni ya kusikitisha Shirikisho la Soka barani Africa ( CAF ) jana limesikitishwa na kitendo cha Idara ya Mawasiliano na Habari ya Klabu ya Yanga ( ambayo...
0 Reactions
88 Replies
7K Views
Michuano ya Euro mwaka huu 2016 imekabiliwa na vurugu sana,tofauti na miaka ya nyuma ambapo mashabiki wa Uingereza walikuwa wakionekana wakilewa sana.Lakini mwaka huu imeonekana mashabiki wa nchi...
1 Reactions
63 Replies
5K Views
wadau hivi sababu ni ipi kwa nini mechi za hivi karibuni kati ya Tanzania na jirani zetu malawi hazichezwi kwenye uwanja wa taifa?.mechi iliyo pita ilchezwa sokoine na hii tena kirumba,why not in...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Huyu jamaa amekuwa anaongea saña wakati mwingine anaongea maneno ambayo si ya kiuana michezo. Hivi karibuni ametokea kuiropokea TFF kuwa waliwafanyia makusudi katika maandalizi ya mechi yao dhidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
English clubs’ chances of signing young players in general will be seriously affected, with the current ruling that clubs inside the EU are able to buy players aged 16 or over. That will change...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wale wenzangu ingia hapa uenjoy free link game zote France vs Romania Live Stream
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba kuuliza wakuu, hivi kwa nini kuna jukwaa la Simba na Yanga ktk uwanja wa taifa dsm?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Afrika (Caf), limetangaza kuindoa ES Setif ya Algeria katika michuano ya Ligi ya Mabingwa. Caf imetangaza kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter, kuwa Setif...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Refa mmoja raia wa Sweden, alimpa kwa mpigo kadi mbili za njano mwanasoka Adam Lindin Ljung-kvist, akiwa uwanjani, kwa kosa la kutoa hewa mbaya. Mchezaji huyo alipokuwa katika harakati za...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nianze kwa kuelezea masikitiko yangu KAMA MWANACHAMA WA SIMBA na si shabiki tu, kwamba imepita miaka minne sasa ambapo licha tu ya kwamba hatujawahi kuchukua ubingwa ila hata kushiriki michuano...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nchi ya Uingereza imepiga kura ya kujiindoa kwenye umoja wa ulaya EU kujiondoa huko kunaweza kuleta athari kubwa kwa Uingereza katika nyanja mbalimbali ikiwemo mchezo unaopendwa zaidi duniani wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, japo tunapenda kuwa kama Ulaya lakini hili la timu ya Yanga kuweka kambi nchini Uturuki haliingii akilini. Klabu yenyewe haina uwanja wa mazoezi lakini inatumia pesa nyingi kwenda huko hata...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza kabisa ambayo imewaacha Watu hoi jana katika moja ya mechi za Ndondo huko nchini Colombia mchezaji mmoja alishindwa kujizuia na katika harakati za kutaka kuuzuia mpira...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limekataa ombi la Young Africans ya Dar es Salaam juu ya kubadili siku na muda wa mchezo dhidi ya T.P. Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mie nadhani wakati umefika Kwa Wizara ya habari kusimamia vilivyo chaguzi za viongozi wa vyama vya michezo hapa nchini.Nashauri hivyo kutokana Na TFF kukaa kimya wakati Klabu ya Yanga Kwa makusudi...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mchezaji aliyeandikisha historia kuwa wa kwanza Kenya na Afrika mashariki kuchezea ligi kuu mashuhuri ya Uingereza Victor Wanyama ameiama klabu yake ya Southampton na kujiunga na Totenham Hotspur...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SPORTS Sijui ni nini kilisababisha kiwango cha Mpira basketball wa mtanzania mwezetu, Hasheem kuanguka vibaya hivi. Sijui nini kilicho msibu. Kipaji cha kucheza anacho. Nilikua nategemea...
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Nauliza tu! baada ya kura ya kujiondoa kwenye umoja wa Ulaya kushinda hatma ya soka itakuwaje pale waingereza watakapojiondoa jumla? mashindano km EURO na UEFA Champions league itaendelea...
0 Reactions
2 Replies
818 Views
NEENDA UGANDA MDHAMINI MKUU AZAM ANAWEKA PESA ZA CLUB KWENYE ACC ZAO AKUNA KUCHELEWESHWA WALA NENDA RWANDA AZAM ANALIPA PESA CLUB KWENYE ACC ZAO NI HAPA TU UTAONA PESA ZA MASHINDANO CHAMA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom