Refa mmoja raia wa Sweden, alimpa kwa mpigo kadi mbili za njano mwanasoka Adam Lindin Ljung-kvist, akiwa uwanjani, kwa kosa la kutoa hewa mbaya.
Mchezaji huyo alipokuwa katika harakati za...
wengi wanapiga kelele kuhusu kusitishwa umisseta na umitashumta kana kwamba lilikuwa ni jambo la muhimu sana katika maisha yetu ya kitanznaia. mwningen anaongea kwa uchungu kuwa tutaua vipaji...
Kwanza nikiri kabisa kuwa nimekuwa ni Mshabiki, Mpenzi na nashukuru Mwenyezi Mungu kila mara moyo wangu umekuwa mgumu sana Mimi kuchukua kadi ya Uanachama ya Klabu ya Simba kwani hapa tu siyo...
The late Albert Mangwea aliamini kuwa jina lake ndio surname ya mziki wa Rap. Sio kwamba alithibitishwa kuwa bora kuliko Suleiman Msindi "Afande Sele" ambaye aliitwa mfalme, hapana. Ni kwa sababu...
Ni kabla ya mechi ya Euro 2016 ambapo Ureno ilikutana na Hungary amabapo mwandishi wa habari alimfuata Ronaldo kumhoji kuhusu mechi hiyo lakini Ronaldo alichukua kipaza sauti chake na kukitupa...
FIFA imetangaza majina matatu yaliyopitishwa katika kugombea Ballon d'Or 2015
Ni Messi,Neymar na Cristiano,
Wakuu tuchangie hapa,wewe unahisi ni nani anastaili kutwaa hiyo tuzo?
Nadiriki kusema hapa Tanzania waandishi wa habari ni kikwazo saaaaana katika nyanja mbalimbali za ustawi wa Taifa letu kutokana na namna wanavyoripoti taarifa mbalimbali.
Mnakuza saaana matukio...
Ndondo Cup ni mashindano yanayoandaliwa na Clouds FM kupitia kipindi chao cha michezo cha Sports Extra kinachoruka hewani kuanzia Saa Tatu usiku hadi Saa nne na kudhaminiwa na Dr. Mwaka...
Tottenham Hotspur imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Southampton mkenya Victor Wanyama kwa kima cha pauni milioni 11.
Inaaminika kuwa wanyama mwenye umri wa miaka 24, ambaye alijiunga na...
Wadau jana kwenye mechi ya fainali ya UEFA Champion nilimsikia mtangazaji wa mechi hiyo kutoka Berln kwamba amebahatika kuwaona wachezaji hao wote kwa kipindi chote lakini bado anaamini Messi ni...
Kutokana na mkanganyiko wa uendeshaji wa mchakato wa uchaguzi katika Klabu ya Stand United ya Shinyanga, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF), limeagiza michakato yote miwili inayoendeshwa...
Mchezo wa kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Young Africans ya Dar es Salaam, Tanzania na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), utachezeshwa na Mwamuzi Janny Sikazwe...
Waamuzi wanne kutoka Ethiopia, ndio watakaochezesha mchezo wa kimataifa kati ya timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ na Shelisheli utakaofanyika Juni 26, 2016...
Leo Jumamosi 28.5.2016 ndio siku ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, michuano mikubwa kabisa na yenye uhondo wa pekee duniani kwa ngazi ya vilabu.
Fainali hii inazikutanisha timu mbili toka...
"Albiceleste"wamefanikiwa kufuzu kucheza nusu ya Copa America baada ya kuwafunga Venezuela 4-1. Gonzalo Higuain, Erick Lamela, na Lionel Messi wakiwa wafungaji. Mfalme wa soka duniani kuwahi...
NJIWA UNAYESOMA NIFIKISHIE MAMBO HAYA KUMI.
1. Tafadhali naomba yeyote awaambie Simba hakuna haja ya kuruka ukuta kama mlango upo wazi.
2. Waambie Yanga unapomnyoa mzee hunyoi mvi bali nywele...
Wadau wote tukutane hapa kupeana udambwi dambwi wa mechi ya leo usiku.
Kwanza tutangulize dua zetu kwa wawakirishi hawa wa Africa Mashariki.
Mungu Ibariki Yanga, Mungu Ibariki Tanzania...
.
.
Ukiangalia hii Video ibayojplay km hujabonyeza kitu ukfungua fifa 14 km lmetabiri mwaka huu...
Lnaanza kwa..
1.wachezaj wa dortmund wanalia (refer kufungwa na bayern fainal f.a cup yao 2016)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.