6.dier 7.roney 8.ali 9.vardy 10. Kane/sturidge 11. Milner
Me naona pale mbele pangepangwa ivyo ingesumbua ila huyu kocha kakomaa na wachezaji wake hawa hata siwaelewi
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Yussuf Mehboob Manji ataendelea kuiongoza Yanga kwa miaka mingine minne, baada ya kutetea nafasi yake katika uchaguzi uliofanyika jana ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar...
Mike Tyson hakuwa bondia bora. Alikuwa overrated. Management ya Mike Tyson walikuwa wanamkutanisha na mabondia dhaifu . Kabla ya kumkutanisha na bondia yoyote, management ya...
Ama kwa hakika ngoma ya watoto haikeshi , kwanza niwape pole sana washikaji kwa kuliwa hela zenu , taarifa zinadokeza kwamba wengi mliweka hela zenu upande wa Belgium , hata sijui kwanini ?
Kama...
Moja kati ya Ligi maarufu Ulimwenguni English Premier League/Barclay's Premier League wanatarajia Kutoa Ratiba leo saa Tano Asubuhi (11AM) EAT.
Vitu Vinavyogonga Vichwa vya Watu ni Match za...
Search Official website ya yanga...utachoka!! habar mpy zilizopo pale n za mwaka 2014 sasa najiuliza huyo mkurugenzi wa masiliano pale yanga anakazi ganii??!! ni aibuu!! Timu ya kimataifa.
Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza makundi matatu ya timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ya StarTimes msimu wa 2016/2017. Michuano hiyo inatarajiwa kuanza...
Habari!
Kama mnavyojua kumekuwepo na tabia ya Uingereza kufanya vurugu ndani na hata nje ya uwanja, hasa mashabiki wao, nafikiri wanaweza kuwa wanafuatiwa na mashabiki wa Uturuki.
Sasa juzi...
Urusi huenda ikapigwa marufuku ya kushiriki mechi za Euro za mwaka 2016 kutokana na fujo zilizosababishwa na mashabiki wake siku ya Jumamosi wakati wa mechi kati ya Urusi na Uingereza mjini...
Russia will be disqualified from Euro 2016 if there is further crowd trouble at their remaining tournament matches.
Uefa, European football's governing body, has given Russia a suspended...
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Young Africans SC na timu nyingine zilizoshiriki katika msimu ulioisha wa 2015/2016 zitakabidhiwa zawadi zao mapema mwezi ujao na Kampuni ya...
kwa kile kinachodaiwa ni harakati za kuweka uchumi sawa, Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA yameahirishwa shuleni.
lengo likiwa ni kuhamisha fedha zilizotengwa kuendesha mashindano hayo...
AZAM TV Mulitangaza mtaonyesha games zote za EURO 2016 lakini mpaka sasa hatuwaelewi...game ya Switzerland hamkuenyesha...game ya Wales hamkuonyesha najua mtaonyesha game ya England na Urusi ila...
Marehemu John Mabula (kulia) akimdhibiti Idd Moshi 'Mnyamwezi' wa Yanga enzi za uhai wake akiichezea Mtibwa Sugar.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amepokea kwa...
Mnacheza na timu nzuri mno ! Hakika leo wazee wa kubeti wanaelekea kuliwa tena .
Uzuri wa La Liga unaonogeshwa na Ronaldo na Messi hauwezi kuwabeba , hawa ni watu wa mataifa mengine , nguo ya...
Wakuu
Kweli nimeamini anayekutakana akuchagulii tusi....nilikua natumia kingamuzi cha Start Times ila baada ya kusikia matangazo kuwa Azam Tv wataonyesha michuano ya EURO 2016 niliamua kununua...
Hv washika dau ukiacha "beberu" Dii Esi Tii Vii na chanel zake za SS, hakuna kisimbusi chochote local and affordable kitakachoonyesha hii michuano ili tufanye mchakato tukilipie hata leo ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.