Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

England settle for second as Hodgson’s gamble backfires in Slovakia stalemate England settle for second as Hodgson’s gamble backfires in Slovakia stalemate
1 Reactions
0 Replies
474 Views
Wakuu nachek mechi ya yuro hapa ufaransa na uswisi naona timu zote mbili zimejaza waafrika na waarabu tu. Je ina maana wazungu kwenye nchi hizi hawachezi mpira au?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbio za kimataifa za riadha ambazo ni maarufu kama Mount Meru Marathon zinafanyika Arusha kila mwaka na huvutia washiriki 3000 na mashabiki 10000 mwaka huu zitafanyika mwezi wa Septemba 2016...
1 Reactions
0 Replies
809 Views
5 Reactions
2K Replies
109K Views
Mwanamieleka nguli Dean Ambrose hapo Jana katika Money in the bank ppv aliibuka Bingwa mpya wa WWE WORLD HEAVYWEIGHT baada ya kumshinda Seth Rollins. Awali Seth Rollins aliibuka mshindi dhidi ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuupiga teke ugali wake Gwiji huyo wa FIFA aliyepigwa bann asijihusishe na masuala ya kabumbu kwa miaka 6 na yeye kaamua kuwaga mboga. Amesema ule upangaji wa draw baada ya makundi...
8 Reactions
83 Replies
8K Views
Wasalaam.Naomba kujua kuna link yoyote itakayo onyesha Bejaiya vs Yanga kwa live stream? Nimepata tv moja Ghana inaitwa GTV+sport ita stream mechi kati ya Tp mazembe vs Madema Ghana muda ni 12:30...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tunawapa pongezi kwa jinsi mnavyofanya. Ving'amuz vingine na channel zetu za tanzania hazina msaada kabisa. DSTV walikuwa wanatunyanyasa mno
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ziko taarifa kwamba mabingwa wa Tanzania ( ligi ya kiwango cha chini zaidi afrika ) wana mpango wa kumwacha mchezaji mkongwe na mzoefu mbuyi twitte . Taarifa hizi ni mbaya sana kwa mtu yeyote...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga kutoka FC Platinum ya Zimbabwe, Walter Musona anatarajiwa kuwasili Dar es Salaam leo alasiri kwa ajili ya mazungumzo ya kuichezea timu hiyo. Musona anayeelezwa kuwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Belgium are today set to meet Irland in their second match in group D, also known as the ”group of death”. The Red Devils came in as one of the favorite to win this years Euros, but up to now...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limepitisha majina ya wachezaji wanne wapya wa Yanga, kipa Benno David Kakolanya, Hassan Hamisi Ramadhan ‘Kessy’, Vincent Andrew Chikupe na Juma Hassan Mahadhi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tanzania ina historia ya kufanya vibaya kwenye ushindani wa michezo mikubwa ya kimataifa na jumuiya ya madola.Huwa hutuishiwi sababu na mara kwa mara sabubu zetu huwa zinafanana miaka nenda miaka...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Obrey Chirwa akiwa kwenye gari la Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam wakielekea makao makuu ya klabu, ambako...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Mara baada ya kipenga cha mwisho cha mwamuzi kwenye mechi ya kwanza kundi F ya michuano ya timu za taifa za Ulaya 2016 iliyo wakutanisha Ureno dhidi ya Iceland kwa suluhu yao ya kihistoria waliyo...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kwa sasa mpira umesimama bada ya vitu vinaonekana kuwa mafataki kutupwa uwanjani.
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Wakati TFF na Jamal Malinzi wakiendelea kumkumbatia kocha mbovu Charles Boniface Mkwasa , tayari shirikisho la soka la Brazil limemtupia mfuko wake wa Rambo kocha wao Dunga . Anatuhumiwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
MASHABIKI wa timu ya Friends Rangers, jana Jumanne uvumilivu uliwashinda baada ya kuchukua maamuzi magumu ya ‘kumteka’ mwamuzi wa pembeni aliyekuwa akichezesha mchezo wao dhidi ya Misosi FC kwenye...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Yanga imepata deal ya vifaa vya michezo kutoka kampuni ya MACRON ya nchini Italia. Klabu kubwa kama Napoli. Bolton wanders . Crystal palace. Stoke city n.k kwa timu za Africa ni Zamalek pekee...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Taarifa nilizonazo ni kwamba kocha mkuu wa Yanga SC Hans amependekeza kuwa na kikosi kidogo lakini chenye ufanisi na amependekeza kumuacha kiraka wake mkongwe Salumu Telela ili akajaribu maisha...
1 Reactions
24 Replies
9K Views
Back
Top Bottom