Kwako sister Jonesia Rukiyaa,
Najua wewe ndiye umepata nafasi nyingine muhimu ya kuchezesha mechi kubwa ya watani, yaani Yanga na Simba.
Mechi pekee ambayo inaweza kusimamisha au kuongeza kasi ya...
Wafugaji wilayani Kilosa wametakiwa na mkuu wa wilaya ya Kilosa mh.John Henjewele kuchangia 100,000 kila mfugaji kwa ajili ya kuchangia mbio za mwenge wa Uhuru.
Ukichangia 100,000 unapewa...
nimekuwa nikifatilia mechi za ligi mbalimbali za ulaya lakini sijawahi kuona gari ya aina yoyote uwanjani,iwe ya polisi,ambulance au basi la wachezaji,tofauti na huku kwetu magari kibao...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Jumamosi kati ya watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC utakaochezwa Uwanja wa...
KUZIONA YANGA NA SIMBA TSH 30,000 | Swahili Media tiketi zitaanza kuuzwa ijumaa kuanzia majira ya saa mbili asubuni,ambapo wadau wa soka wametakiwa kujitokeza kwa wingi kununua tiketi hizo
Jana mchezaji Bora wa dunia mara tano Lionel Messi alifanya kitu cha ajabu wakati alipokwenda kupiga penati dhidi ya timu ya Celta Vigo na kutoa pasi kwa Suarez badala ya kufunga.
Messi alikimbia...
Tff inafanya mzaha kuweka mwamuzi mwanamke.
Wasifananishe na mechi ya bonaza ya mtani jembe alivyoboronga leo anatulete yule yuke sis mashabiki tunamtadharisha atarudi kwao Bukoba kwa kutambaa.
Heshima kwenu Wakuu?
Nianze na lengo la uzi huu, utakuwa shuhuda wa hili kwamba ligi kuu nchini Ujerumani (Bundesliga) imeonekana kuwa bora na yenye ushindani ukilinganisha na ligi zingine za...
Habari zenu!
Nimesikitishwa sana na kilichotokea ligi daraja la kwanza ktk mechi zilizohusisha timu zenu za JKT.
Timu za JK kanembwa na JKT Oljoro wametia aibu kwa 'kupanga' matokeo ya...
Ndio mpira umemalizika uwanja wa Mkwakwani Coastal wakiwa wamepata ushindi wa
goal 1 kwa mtungi, Hongera sana Coastal.
Goli limefungwa na Miraji Adam dk 65
LICHA ya ushindi wa mabao 2-1 yaliyofungwa na Mganda Hamisi Kiiza katika mechi dhidi ya 'wakatisha tiketi' Stand United mjini Shinyanga, Simba wanaonekana kukwea kileleni kwa muda wakisubiri...
Hili ninalosema ni jambo ambalo wengi hawatataka kukubaliana nalo lakini ntalisema ili kuokoa jahazi katika soka la Tanzania.
Mimi binafsi ni mpenzi wa mpira wa miguu na michezo kadhaa toka mwaka...
Ligi Daraja la Kwanza ndio hiyo inaelekea Ukingoni huku leo kukiwa na Michezo kadhaa ya kukamilisha Ligi hiyo. Michezo hiyo itaamua ni nani anapanda na nani anabaki na yupi anashuka. Wacha...
Mechi zitakazochezwa jumapili baina ya timu 4 za kwanza zitaamua mwelekeo halisi wa ligi hii yenye wapenzi wengi duniani.
Arsenal itamenyana na Leicester City ambayo bado inaongoza ligi ikiizidi...
Mmiliki wa Arsenal anunua shamba la £500m
Image captionStan Kroenke
Mashabiki wa Arsenal kwa mda mrefu wamelalamika kuhusu kushindwa kwa kilabu hiyo kununua wachezaji wazuri kila dirisha la...
Wakuu Mnyama hatari mda huu unakipiga na Stand United ligi kuu ya Vodacom.Nipo hapa Kambarage(kati ya viwanja vilivyoporwa na CCM) kuwaletea mtanange.Simba 2:Stand 0,Ng'we ya pili.Simba watisha
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, leo hii wanaanza kampeni yao kuwania taji la ubingwa wa Afrika kwa kucheza ugenini na Cercle de Joachim ya Mauritius, lakini ikiwa ni miongoni mwa klabu...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Joseph Kabila amempa kila mchezaji wa timu ya taifa, gari aina ya Toyota yenye thamani ya dola 60,000, kwa kushinda michuano ya CHAN. Rais Kabila pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.