Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naomba kujua wana jamvi. Hivi FIFA hua naona inakataza kupeleka migogoro ya michezo mahakamani. Sasa nikama miezi3 sasa naskia juuu shirika la ujasusi la Marekani FBI kufuatilia tuhuma za rushwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hawa ndio Cercle de Joachim wanao kutana na Yanga SC February 14 kwenye kipute cha klabu bingwa Afrika. Timu hii inayopatikana katika jiji la Curepipe ni mabingwa wa Maurtian League mara mbili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajf, nisaidieni!! Hivi ikitokea katikati ya mchezo, iwe ni football, netball, basketball etc mchezaji au mwamuzi (referee akabanwa na haja (iwe ni haja kubwa au haja ndogo)... Je, anaweza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
FT Manchester City1 - 3 Leicester City
2 Reactions
70 Replies
6K Views
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, ameanza vyema na timu yake baada ya kusaidia ushindi wa bao 1-0 katika ligi ya Ubelgiji (Jupiter Pro League) dhidi ya wenyeji Mouscron Peruwelz...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Dakika ya nane siyo Mali siyo Congo.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mji wa shinyanga upo katika hali ya shamra shamra za kusbiria mpambano wa leo jioni kati ya Team ya Simba kutoka katika sehemu ya Jiji yenye shamrashamra dar es salaam ambayo asilimia 99 ya watu...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
KOCHA Kinnah Phiri aliyekuwa akikinoa kikosi cha Free State ya Afrika Kusini ametua Mbeya City na kusaini mkataba wa miaka miwili. Katibu Mkuu wa City, Emmanuel Kimbe amethibitisha taarifa hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila saa na refresh jukwaa la spots kuona uzi wa update sababu nilipo siwezi fatilia kinachoendelea kwenye lingi yetu naona kimya tu ni kwamba mko kwenye mgomo au mnataka malipo acheni hizo bana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakala wa Yaya Toure Dimitri Seluk amedai kuwa mchezaji huyo ataondoka katika klabu ya Manchester city baada ya Pep Guardiola kuchukua jukumu la kuifundisha kablu hiyo. Toure na Guardiola...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
tunakumbuka mwaka jana kwa sisi tunaofatilia mpira suala lake la mgogoro na simba sc. katika michezo lilikuwa gumzo la namna yake kuhusiana na suala lake la kughushiwa saini n.k lilienda...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Happy bday Cristiano Ronaldo kwa kutimiza miaka 31 leo, lakini je mwisho wa zama zake umefika? Katika umri huu wa miaka 31 si shaka kwamba umri unasogea na hata ubora unaanza kushuka taratibu...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Klabu ya Soka ya Coastal Union ya Tanga imeanza kuonja 'tamu' ya ushindi baada yakuzawadiwa fedha taslimu kiasi cha Shilingi Milioni Mbili na mfadhili wa timu hiyo, Alhaji Salim Bajaber ambaye pia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii desturi ya wachezaji kuwa na wasimamizi tangu wakiwa wadogo ianze maana wanakuwa wanazinguliwa sana kwenye suala la mikataba, mchezaji anaachwa tu mwishoni mwa msimu hana hata timu ya kwenda...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Aliyekua mchezaji wa zamani wa Manchester United, kisha akawa mchambuzi wa michezo ambaye sasa ni kocha wa klabu ya Valencia ya Hispania anazidi kuthibitishiwa kuwa kukosoa ni kazi rahisi mno na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yanga itaendelea kufanya vibaya hadi itakapomtimua au kumwambia mmoja wa viongozi wake awaombe radhi wana Dar Es Salaam na hususani Wazaramo. Kiongozi huyo muandamizi wa klabu hii ya Jangwani...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva Akikata Utepe wakati wa Uzinduzi wa Duka la Vifaa vya Michezo akiwa Ameambatana na Afisa Mtendaji Mkuuwa Eaggroup Ndugu Iman Kajula Pamoja na Wadau wengine wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
najipa matumaini kabla ya 2030 tanzania inaweza kushiriki kwenye fainali za kombe la dunia,nani anabisha?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Liverpool vs Ac milan, ucl final 2005 2. Man U vs Bayern Munches, ucl final 1999 3. Real Madrid vs Atletico Madrid, ucl final 2014 4. Taifa stars vs Algeria, 2015 DSM Add urs
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kutokana na club ya Arsenal kila mwaka kuwa washiriki kwenye EPL, na kutumia muda mwingi kuuza sura kwenye social media, nadhani huu ni muda muafaka kwa wabunifu kuanzisha shindano la selfie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom