Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

kwa wale wenye ving'amuzi vinavyokamata hii channel sasa wataenjoy epl live,..kwa leo watarusha game ya everton vs west brom saa 6:00 pm(EAT)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa wale wenye ving'amuzi vinavyokamata hii channel sasa wataenjoy epl live,..kwa leo watarusha game ya everton vs west brom saa 6:00 pm(EAT)
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura leo ametembela ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kupata kujionea shughuli mbalimbali zinazondeshwa na...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Kikao cha Kamati ya Kusimamia na Kuendesha ligi (Kamati ya Masaa 72) kimekutana Jumatano katikati ya wiki kupitia taarifa na ripoti mbalimbali za michezo ya Ligi Kuu (VPL), na Ligi Daraja la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
....Inahitaji roho ngumu kulisema hili, hasa katika nyakati hizi. Nadhani Arsenal itaifunga Leicester City. Arsenal inapata wakati mgumu ikicheza na wachezaji wenye futi nyingi na wanaoweza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ligi Daraja la Kwanza (StarTimes League) inatarajiwa kumalizika wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa kwa wakati mmoja katika viwanja mbalimbali nchini, huku Kundi A na C zikisaka vinara...
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Klabu ya Sunderland imefuta Mkataba na Mchezaji wake Adam Johnson mara tu baada ya mchezaji huyo kukiri Makosa Mawili Mahakamani kwenye Kesi iliyomkabili ya kuwa na uhusiano wa ngono na Binti wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mshikemshike wa ligi kuu Tanzania bara utaendelea tena wikiendi hii ambapo jumamosi kutapigwa jumla ya michezo mitano. Stand United watakua wenyeji wa Wekundu wa msimbazi Simba Sport klabu, huku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi amegundulika kuwa na tatizo la figo baada ya kufanyiwa vipimo vya afya. Hili ni pigo kwa wapenda soka wote duniani,
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetuma salamu za rambirambi kwa familia ya mwandishi wa habari za michezo nchini Hamis Dambaya kufuatia kufiwa na mkewe, mwanae pamoja mama mkwe wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wataalamu wa mapishi watakubaliana na mimi kwamba uzuri au utamu wa chakula unategemea kwa kiasi kikubwa utaalamu wa mpishi wa chakula husika na jinsi gani anavyotumia viungo husika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ligi Daraja la Pili (SDL) nchini inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa timu zote 24 kucheza katika viwanja mbalimbali, kusaka timu nne za juu kutoka kila kundi zitazokpanda ligi daraja la kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ronaldo: Ni muda sahihi auzwe au aendelee kubaki Madrid? Mnamo mwezi wa sita 2015 mtandao mmoja wa michezo wa Spain ulitoa fursa kwa wasomaji wake kupiga kuhusu uwezekano wa Real Madrid kumuuza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kenya ilikuwa na muziki wa kupendeza miaka ya 60 mpaka 70 laikini sasa na wote wamepotea aidha wamekufa au wamezeeka. Na kwa bahati mbaya hakuna tena kwa hiki kizazi cha sasa ambao wanapiga nyimbo...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Ningependa kuchukua FURSA hii murua kumshauri Mtanzania pekee aliyetutoa KIMASOMASO katika mchezo wa mpira wa miguu Mbwana Ally Samatta a.k.a POPA kuwa kwakuwa tayari tumeshajua kuwa yupo MAJUU na...
4 Reactions
48 Replies
7K Views
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linajing’ata na kujipuliza lenyewe. Na limeanza kwa kujihami kuhusu hofu ya kupanga matokeo kwenye ligi mbalimbali nchini. Mwishoni mwa wiki shirikisho hilo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) imetolewa leo, ambapo jumla ya timu 16 zinakutana katika hatua hiyo (16 bora) itakayoanza kutimua vumbi wikiendi ya Februari...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mchezaji Thaban Kamusoko amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Disemba, 2015 baada ya kumshinda mchezaji mwenzake wa Yanga (Amissi Tambwe). Kamusoko ameisaidia timu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
ERIC OMONDI UNTAMED 5 The Obama Homecoming: Source: Eric Omondi youtube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miaka michache iliyopita tuliiona timu yetu ya U-23 ikionesha ushindani wa hali ya juu kiasi cha kuitoa kamasi Cameroun kabla ya kukwaa kisiki cha Nigeria lkn kwa shida sana. Timu hii ilikuwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom