The national women's volleyball team won gold at the 2015 African Games in Brazzaville after 15 years of waiting.
Kenya beat Cameroon 3-1 in the final on Monday evening in Brazzaville's Massamba...
Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF) umeingia makubaliano ya udhamini wa bima ya afya kwa wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi kwa vilabu 16 vya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kwa kipindi cha...
Katika kujiburudisha, binadamu wamevumbua michezo/mashindano ambayo kwa watu wengine
ni kitu cha kustaajabisha na kushangaza. Fuatilia mashindano/michezo hii hapa chini ushangae
kiasi!
1...
Timu zote tatu zilizosalia katika Klabu Bingwa Barani Ulaya toka Uingereza hazijapata ushindi katika mechi zao za mwanzo za 16 bora. Chelsea iliambulia sare ya 1-1 toka kwa PSG ya Ufaransa. Man...
Kenya Commercial Bank (KCB) FC forward Paul Mungai Kiongera has been voted the best player in the Sport Pesa Premier League (SPL) by fans for the month of August.
Kiongera beat off stiff...
Leo 12/09/2015 ligi kuu Tanzania bara inaanza kwa msimu wa 2015/16, wekundu wa msimbazi wamepania kurudisha heshima yao msimu huu kwa kuchukua ubingwa na wataanza leo dhidi ya wageni wa ligi kuu...
Mpenzi wa bia ya Tusker na mkazi wa Mbezi Beach jijini Dar es salaam, Jane Jeva (katikati) akipokea zawadi yake ya mfuko wenye fulana toka kwa Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti...
Natamani kukutana na Watanzania pamoja na marafiki mbalimbali nikiwa njiani.
Tarehe 30 Septemba natarajia kwenda Afrika Ya Kusini kwa Basi. Nitasafiri mpaka Msumbiji. Kutoka Msumbiji nitapanda...
Floyd Mayweather aka May money kwa mara nyingine amethibitisha hashindiki baada ya kumshinda mpinzani wake Berto kwa ushindi wa jumla baada ya waamuzi wote kumba 117-111, 118-110 na 120-108...
Chocolate City's big girl, Victoria Kimani, has claimed she would continue to flaunt her curves in her musical videos, despite some men objectifying her sexually.
In a recent interview with The...
Katika muendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara, leo katika uwanja wa taifa patakuwa hapatoshi pale miamba wa soka tanzania Dar Young Africans watakapokuwa wenyeji dhidi ya timu ya coast union kutoka...
NBA great Moses Malone dies at 60Moses Malone devoured rebounds so easily it sometimes seemed he missed shots on purpose to pad his total before scoring.
Related Stories
Three-time NBA MVP, Hall...
Floyd Mayweather ameshinda ushindi wa 49 mfululizo kwa alama dhidi ya Andre Berto mjini Las Vegas.
Mpinzani alikuwa mchezo lakini Mmarekani mwenzie, anayetetea mataji ya WBC na WBA, alikuwa mgu,u...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ameiongoza TP Mazembe kuishinda Maghreb Tetouan ya Morocco kwa mabao 5-0 jijini Lubumbashi,DRC na kutinga nusu fainali ya Klabu Bingwa Afrika...
Hii ripoti inasema alitumia madawa yaliyopigwa marufuku
madawa ambayo husababisha wasione kitu iwapo
atapimwa kama ametumia madawa mengine...while
Pacqiao alinyimwa kibali kama hiko
na USADA tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.