Simba haijapata goli kwenye uwanja wa Mkwakwani tangu Mafisango alipowafungia bao la mwisho 2011, sasa wanahisi wanarogwa darajani Wami.
Kikosi cha Simba kinatarajia kutua Tanga leo kwa usafiri...
I interrogated her and she told me that she had visited Kago and his roommate, but she couldnt recall what really happened after taking a few drinks. Her eyes were red, she looked confused...
Nimekuwa nikijiuliza kwanini watangazaji wa kipindi cha michezo Clouds FM sio weledi katika kutunza muda. Kipindi cha michezo ni kuanzia saa 3 hadi saa 3:59, lakini wamekuwa sio weledi kwani...
Shirikisho la soka nchi limefanikiwa kuingia mkataba wa miaka 4 na azam media wenye thamani ya tsh bil 3.3 kwa ajili ya mashindano ya kombe la shilikisho. Mashindano hayo...
The Kenya Rugby Union confirms the appointment of Benjamin Ayimba as Head Coach of the Kenya Sevens team. He takes over the role from immediate former Head Coach Felix Ochieng who handled the team...
Leo kutoka Jijini Dar es Salaam, Azam Sports kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu wanazindua Kombe la Shirikisho ambalo litachezwa kuanzia msimu wa 2015/2016.
Fuatana nasi kwa...
Congrats to Tejas Hirani, the first Kenyan to win an International Motorsport Championship. He won the UAE Formula Gulf Championship. Well done! ‪#‎ProudlyKenyan‬...
Jioni ya leo timu ya taifa Twiga stars imefungwa goli moja kwa bila na timu ya Ivory coast katika michezo ya All
Africa Games.Kipindi cha kwanza Twiga stars walicheza kwa kuelewana na kulitia...
OMG! i love it,it's killer song.
theme,lyrics and the melody is freaking awesome.kudos to wahu.
long live bongofleva,long live swahili.:biggrin1::biggrin1:
CC MK254 sam999 Iconoclastes Guest...
Sept. 12 at MGM Grand
​
Pound-for-pound king Floyd Mayweather, four months removed from his historic victory against Manny Pacquiao in the richest fight in boxing history, said Tuesday...
Uwanja wa taifa wa zamani ambao kwa sasa unajulikana kama uwanja wa Uhuru au shamba la bibi, umefungwa kwa muda mrefu ili kupisha ukarabati wa uwanja huo, kwa muda mrefu uwanja wa Uhuru tumekuwa...
Kama Bodi ya Ligi hawatapangua ratiba, Ifuatayo ni ratiba ya Simba S.C ambao ni mabingwa wanaosubiri kutangazwa.
Japo msimu wa 2015/2016 utakua ni sawa na kumsukuma mlevi kwa upande wetu...
Ni kweli huyu mkenya amekataa 8 milion dollars kuchukua uraia wa Qatar?
au hizi ni story tu za kutunga tunga? Geza Ulole MK254
No, Julius Yego has not turned down Sh1b for Qatar switch
Javelin...
Jose's Special One! Chelsea boss is left looking distinctly unimpressed after being upstaged by his daughter Matilde, 18, and her VERY revealing dress at GQ Awards
SHARE PICTURE
+60...
Watanzania walio wengi wamejionea jinsi Timu ya Taifa ya soka (Taifa Stars) ilivyoimarika. Inatofautiana kiuchezaji na hata ari ya wachezaji na zile za makocha wa kigeni zilizotangulia. Taifa...
Mwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) amekagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba na kuomba kasi ili ukamilke ka muda uliopangwa.
Mwakilishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.