Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokaa Tarehe 06/09/2015 kilipanga tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF kuwa ni Disemba 19-20, 2015.
Ajenda za Mkutano...
Mbio zitafanyika tarehe 04.10.2015 badala ya tarehe 27.09.2015.Hii ni kutokana na mambo yaliyo nje ya uwezo wetu.
tembelea www.mountmerumarathon.com au piga 0757555777
Kwa heshima na taadhima, uongozi wa WAKALI JOGGING wakishirikiana na UBALOZI WA AFRIKA KUSIN nchini TANZANIA tunayofuraha kuwaalika katika bonanza letu la kimichezo la Mbio za Pole (Jogging)...
mdhamini wa michuano ya ndondo cup, dk mwaka (kushoto) akimkabidhi kombe la ubingwa wa michuano hiyo, nahodha wa faru jeuri, buji selemani mara baada ya timu yake kuishinda kauzu fc, leo.
kombe...
Mkazi wa Mikocheni na mpenzi wa kinywaji cha Tusker Bw. Gaspar Makongoro (38) (katikati) akizungumza na mshereheshaji wa promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kushoto) wakati wa...
Hivi huu uzi mpya wa Taifa Stars unatengenezwa na kampuni gani? Tumezoea kuona logo za Nike, Adidas, Puma, Uhlsport, Kappa, Umbro au Joma.
Sasa hii ya kwetu mbona haina logo yeyote, au...
Mbio za Mount Meru Half Marathon zitafanyika Arusha tarehe 27 September 2015 kuanzia The Arusha Hotel na kuishia Sheikh Amri Abeid Stadium.
Kwa maelezo zaidi piga 0757555777, pia tunatafuta...
Nimeshtushwa sana na taarifa hii kutoka makao makuu ya soka duniani, Fifa kuwa itasitisha misaada mingine ya kimaendeleo ya soka kwa Tanzania kisa tu serikali kuzuia vifaa vya michezo zikiwemo...
Kufanikiwa kwenye mchezo maalum mara zote ni kitu cha kufurahisha na kuhamasisha, kufanikiwa kwenye michezo miwili ni kitu cha kipekee zaidi.
Shauku ya Wanigeria wengi ilikuwa ni juu ya uwepo wa...
Shutuma zimetolewa na vyombo vya habari kwamba wanariadha wa Kenya na wale wanaokwenda kufanya mazoezi Nchini Kenya wanatumia banned substances kuwawezesha kushinda kwenye mashindano mbalimbali...
Bondia kutoka nchini Philippines, Manny Pacquiao atatundika gloves mwaka 2016 baada ya kuutumikia mchezo wa masumbwi tangu mwaka 1995.
Taarifa za kustaafu kwa bondia huyo zimetolewa na promota...
Tamaa ya kuweka kiingilio kikubwa hali ikijulikana ni nchi ya watu maskini pia tukiwa ni kichwa cha mwenda wazi hawa TFF wangeweka kiingilio buku moja tu ili tuendelee kuipa nguvu timu yetu wakati...
Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini.
Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu.
habarini wakuu?
kiujumla mimi nilikuwa mshabiki mkubwa wa timu hii ya msimbazi,lakini kwa kutazama future ya timu hii nimegundua haipo vizuri,hali hiyo ikapelekea kutojihusisha nayo kwa muda...
Yaani mtu kalipia king'amuzi cha Azam sports HD halafu mnaenda kumuonesha
'ndondo cup'?
seriously?
Hivi Azam wameshindwa hata kuonesha Kagame cup
halafu bila aibu mnaonesha NDONDO CUP?
Michuano...
Kauli zinazochosha : Stars yafa kishujaa..!Stars yatolewa kwa jasho..!Wafa Kiume..!Sasa tunasema basi ! tushachoka...
Haitajalisha mmecheza vizuri kiasi gani, AU mipira imegonga post mara...
Klabu ya daraja la kwanza, Geita Sport Club imepata udhamini wa milioni 300 kutoka kwa Kampuni ya uchimbaji madini ya Geita Gold Mine. Klabu hiyo imepanda daraja la kwanza msimu huu imepania...
Wakuu, nimeshangaa kusikia viingilio vimewekwa kwa viwango vya juu kuliko hata mechi za ligi. Kiingilio cha chini ni 7,000/= na cha juu kabisa ni 40,000/=. Jukwaa B kwa mechi za Yanga hutozwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.