Timu ya taifa ya Tanzania ilipoteza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Libya kwa magoli 2-1, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Kartepe1 nchini Uturuki.
Goli pekee la Tanzania lilifungwa na John...
Kano Pillars ni timu ya mpira wa miguu huko Nigeria ina rekodi ya miaka 12 bila kufungwa nyumbani kwao sasa ndio imefungwa 2-1 na Nasarawa United.
Je kuna timu nyengine ambazo mnazijua...
Mashindano ya Kombe la FA yanarejea tena, baada ya kupotea kwa miaka 13.. na sasa yatajulikana kama Kombe la Shirikisho.
Zifuatazo ni dondoo kadhaa kuhusu michuano hii.
1. Ni timu zipi...
Mshambuliaji mpya wa Simba, Papaa Niang jana alicheza dakika 45 mechi dhidi ya Mwadui FC na kuweka record ya aina yake, mchezaji huyo alifanikiwa kupiga cross moja tu, hakupiga shuti hata moja iwe...
Kenyan rapper Octopizzo has been exposed as a liar for claiming that he recorded his new hit song This Could Be Us with American R&B star August Alsina.
Alsina disowned the alleged collabo on...
Matokeo ya leo: Simba 0-0 Mwadui FC. Hakuna cha Niang wala mikia wengine!
Julio: Simba bado sana, mashabiki wasitegemee jipya watabaki vile vile tu kama msimu uliopita na misimu mingine...
KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Boniface Mkwasa ametoa orodha ya wachezaji 22 watakaosafiri usiku wa jumapili kuelekea nchini...
Mashindano ya World Championship yanayoendelea nchi China yamedhihirisha kwa mara nyingine tena kwamba Mjamaika Usain Bolt bado hana mpinzani baada ya kushinda mbio za mita 200 wanaume
Ikumbukwe...
It's no surprise that the English Premier League dominates the Top 10 Most Valuable Kits.
Total Revenues Generated by European clubs (excluding Premier League).
2015-16 European...
Sijui kama wanazi wenzangu wa Msimbazi mnaliona hili naloliona. Baada ya Simba SC kufunga goli 38 katika msimu uliopita, ambayo ni chini ya goli 2 kwa kila mechi, huku washambuliaji tegemeo...
Sister slays! Stella Mwangi drops Kisii soul on Raj "Obe Baba" remix1
Stella Mwangi - easily the leading Norwegian hip-hop artist of Kenyan descent - features in the high-octane remix of "Obe...
Ninakumbuka, mshambuliaji wa zamani wa kimataifa nchini, Makumbi Juma ‘Homa ya Jiji' au ‘Bonga Bonga' alisema maneno ambayo yalikaribia kunitoa machozi.Ilikuwa ni katikati ya mjadala...
Viongozi wa Simba hawana mpango wa kusajili wachezaji wa kimataifa ila wanacheza dili ya kupata hela wanafanya hivi; Wanatangaza wanaleta bonge la mchezaji wanaandaa mechi ya kirafiki washabiki...
Ezekiel Kemboi underlined his status as one of the great Kenyan athletes by capturing the world championship 3,000 metres steeplechase crown for a record fourth time on Monday.
The 33-year-old...
Baada ya kupata taarifa kwamba Simba wanamleta straika kutoka Senegal aitwaye PAPA NIANG (mdogo wake Mamadou Niang), nilimwangalia kwenye Youtube na kugundua kwamba ni mkali. Jamaa anapiga mashuti...
SonderjyskE ndio timu anayochezea, mchezaji bora kabisa kuwahi kushuhudiwa katika ukanda wa CECAFA, Emanuel Anord Okwi. Timu hii inazidi kuchanja mbuga katika mbio za kuchukua ubingwa wa Superliga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.