Kilio cha Wanasoko nchini kimesikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) baada ya leo kuanza kuweka habari zake kwenye tovuti ta mtandao huo ambayo ni Home | Tanzania Football Federation |...
Timu ya yule mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea katika huu ukanda wa CECAFA, leo usiku ilikua uwanjani na ikaibuka na ushindi wa 3-0.. Baadhi ya picha ni kama ifiuatavyo..
Huyu white anaitwa...
kuna habari zisizo rasmi mashindano ya kombe la africa mashariki liloisha hivi karibu kuwa eti azamfc ilitoa mchango wa siri kwa musonye na tff shs milioni 300 ipate upendeleo wa kuchukua ubingwa...
Baada ya Simba SC kuutangazia umma juzi kua kuanzia sasa zile jezi bora kabisa kuwahi kutengenezwa katika ardhi yetu ya Tanzania, unaweza kununua online kupitia mtandao wa https://www.jumia.co.tz/...
Ndugu Dunstan Tido Mhando kweli ni mtu wa mageuzi kwa maendeleo. Hapana ubishi tokea aanze kazi Azam TV pamekuwa na mabadiliko ya kimuonekano na kivitendo kwa taasisi hii na mengi tunayasubiri...
Katika kukidhi maombi ya wananchi kutaka timu ya soka ya Taifa letu iwe na kocha mzawa, TFF imemteuwa C. B. Mkwasa kuwa kinara wa benchi la ufundi.
Kinachonitatiza ni kuwa kocha huyu bado ni...
Haina ubishi kuwa mawakala na mameneja wana mchango mkubwa kwenye kufanya michezo iwe biashara, kutoka kwenye mtazamo wa sasa ambapo soka letu bado lina sura ya ridhaa.
Kwa mujibu wa tovuti ya...
Mbeya/Zanzibar.
Kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema hana wasiwasi na mfumo wa 3-5-2 unaotumiwa na Azam FC tayari ameshapata mbinu ya kuwamaliza katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa...
Wanajanvi naomba ku- declare interest mimi ni mpenzi wa mpira wa miguu. Kwa leo naomba niulize kwenu swali ambalo mimi binafsi sipati jibu.
Ni kwanini mchezaji wa mbele (forwardman) ni aghali...
Wadau hii mechi mbona mmeichunia sana tunaomba updates zenu pls hasa mliopo uwanjani, nasikia mpaka sasa dakika ya sita simba 1 URA 0.
Naomi updates tafadhali mi sipo uwanjani na nana kimya
Nina uwezo mkubwa wa kucheza kandanda, na nikisimama namba 10 namba 9 atatupia tu atakavyo. Natamani kucheza hizo vilabu vya ligi kuu bara.
USHAURI TAFADHARI!
Unapolijua tatizo ndipo unapaswa kuandaa mipango ya kulitatua tatizo lako.
Ila nashangaa timu hii inavyoongozwa bila ubunifu na ushirikishwaji wa wananchi na wadau wa soka hapa Mtwara...
Unruly Gor Mahia fans torch police and Nairobi County vehicle
A crowd of Gor- Mahia fans on Wednesday evening torched two vehicles belonging to the Nairobi City Council and a traffic police...
Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva wa tatu kutoka kushoto akiwa na Washindi wa bahati nasibu Pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup ImanKajula kushoto na Msemaji wa Timu hiyo Manara
Rais...
Habari wana JF.
Kuna michuano ya Kombe la Dunia la Netball inayofanyika nchin Australia kuna timu za Africa zinashiriki mfano Malawi, Uganda, south Africa ambazo zimeonesha kiwango cha juu...
Aug 11, 2015
Nairobi, Kenya
Gor Mahia and AFC Leopards players strike over unpaid salaries
Gor Mahia and AFC Leopards players have threatened to boycott their respective Kenyan Premier League...
Klabu bingwa barani Afrika,ES Setif imevuliwa ubingwa kwa kuchapwa mabao 2-0 na El Merreikh ya Sudan jijini Khathoum. Setif walikuwa wakiongoza kwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza.
El Merreikh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.