Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mtazame Ronaldo alivyojigeuza ombaomba huku akicheza mpira ndani ya Madrid, alijigeuza babu watu wakampotezea baada ya kumjua ikawa mafuriko wanataka kupiga nae picha, https://youtu.be/RKr-U1r1AlM
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jeshi la maangamizi lilokua vitani jana usiku katika uwanja wa Amaani. Kikosi bora kabisa kwa sasa Zanzibar, Black Sailor ambao wamepanda ligi kuu msimu ujao kwa kuvunja rekodi ya kua na point...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Leo mabingwa watarajiwa wa VPL msimu wa 2015/2016 wamehitimisha ziara yao kisiwani Unguja kwa kuiadhibu ipasavyo KMKM mbele ya refa wao, uwanja wao pia mashabiki wao goli 3-2. KMKM ndo walianza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Iman Kajula Akizungumza wakti wa Kuzindua Mpango wa Kuuza Vifaa vya simba Kupitia Duka la Mtandao. Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Jumia wamezindua huduma ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo kuna mbio za magari kule Arusha.. Sijui ni kwanini huu mchezo hauna Updates huku au ndio zile fikra za mchezo wa wahindi. Mlioko Arusha tunaomba Updates wengine tumeshindwa kuja huko...
2 Reactions
132 Replies
16K Views
Baada ya kuonyesha kiwango cha kutakata katika michuano ya Kagame, Una lipi la kumzungumzia Beki Mahiri wa Azam Fc Serge Wawa. Mimi la kwangu ni hili; Jamaa hastahili kuendelea kucheza Bongo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Japo timu ya Simba SC imekua na kauli mbiu mbali mbali na majina ya utani kama "Simba Taifa Kubwa", "Wekundu wa Msimbazi", "Simba 5-0".. kauli mbiu kuu ya Simba SC ni "NGUVU MOJA". Ukiiangalia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam sana wana JF! Leo nachukua fursa hii kutangaza rasmi utabiri huu wenye uzito mkubwa sana hasa kwa wapenzi na wafuatiliaji wa English Premier League™, kwamba msimu huu unaoanza mwezi...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Jeff Kinyanjui: My CECAFA Kagame Cup Best XI By Jeff Kinyanjui Aug 03, 2015 Print Email Congratulations to Tanzanian moneybags Azam FC for winning the 2015 CECAFA Kagame Cup. They totally...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Full List: http://www.uefa.com/memberassociations/uefarankings/club/index.html
0 Reactions
7 Replies
1K Views
According tothe Human Rights Foundation (HRF),Leo Messi's visit toGabonsupported "one of the world's most repressive and corrupt regimes". The New York-based NGO condemned the Barcelona star's...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Leo ni game ya utangulizi kabla ya ligi kuanza ambayo hujulikana kama mchezo wa kugombea Ngao ya Jamii (Community Shield). . Palee Wembley Stadium saa kumi na moja kamili jioni (17:00) kwa saa za...
1 Reactions
115 Replies
9K Views
41 MINUTES AGO Sauti Sol disappointing outing at MTV MAMA awards Kenyan fans attributed their loss to the tyranny of numbers that saw Nigerian artistes emerge the night's big winners taking home...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kweli tanzania tuna safari ndefu sana yani hata marefa hatuna....sijaona madudu ya marefarii kama ya kwenye ligi ya bongo ,marefa wa kagame walikuwa na nidham ya mchezo,busara,na ukali kidogo pale...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi Julai 18 hadi Agosti 2 jijini Dar es Salaam na Mabingwa wa Tanzania, Yanga wamepangwa Kundi A lenye timu za Gor Mahia ya Kenya, Kharthoum ya Sudan, Telecom ya...
1 Reactions
1K Replies
80K Views
Waungwana samahani nahitaji kufahamu forums za Kenya zenye muundo kama jamiiforums ambayo watu wana toa mada na watu wanatoa comments zao kwa Uhuru, nimepitia ghafla, niaje, kenyamoja hizo zote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kupitia ukarasa wao wa Facebook AZAM TV kuanzia tarehe 15 August wataanza kuonyesha mechi za ligi kuu ya Hispania Primera La Liga Ahsante Azam Tv naamini huu ni mwanzo wa mambo mazuri mengi mno...
1 Reactions
91 Replies
16K Views
Wana JF Naamini wote tu wapenzi wa timu zetu za ndani linapokuja suala la Utaifa kwanza. U Yanga, U Simba, U Azam, U Mbea City, nk tupa kuleee! Mm ni shabiki na mpenzi sana wa Young Africans...
2 Reactions
63 Replies
11K Views
Hatua ya nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) inatarajiwa kuendelea kesho katika uwanja wa Taifa, huku kiingilio cha chini katika michezo hiyo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kufuatia Mkongwe wa Real Madrid, Iker Casillas Kuhamia Fc Porto baada ya Miaka kadhaa ya heshima kama mmoja wa golikipa bora zaidi wa kizazi chake kuwahi kutokea katika uso wa Dunia. Yupi ni...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Back
Top Bottom