Mazoezi haya mithili ya special unit za Mossad yalianzia katika gym na fukwe za Jiji la Dar es Salaam, ambapo zoezi zima liliongozwa na kocha mwenye leseni ya juu kabisa toka UEFA ( Grade A)...
Hatimaye kile kilichotabiriwa na wapenzi pamoja na wataalamu wa soka kimetimia.
Timu iliyofikiri kujipima nguvu kwa kucheza na kuzifunga Friends Rangers, Polisi kombaini ndiyo kuzifunga timu kubwa...
Nimesikia leo wachambuzi E fm wakimhoji mchezaji wa zamani,point moja ilionigusa ni pale iliposemwa kua mchezaji 'Malota soma'ball jagural"pamoja na weledi wote alokua nao hakuwahi cheza National...
Clinical Gor floor Malakia to set date with Khartoum
Gor Mahia's Godfrey Walusimbi in action during a past friendly match against Nakumatt FC at City Stadium Walusimbi scored a brace as Gor...
Msaada wa ushauri please maana siku hizi ukikatwa tu, unachepuka kwa jirani!
Llembeli kasikia harufu ya kukatwa kachepuka, Lowassa kavua gamba...
Je, unawashauri nini ndala? Waende wapi baada...
Wanamichezo,
Leo ni mtanange wa Yanga na Azam, kwa timu zetu za Tanzania naweza kusema ndio mechi yenye msisimko na hamasa kuliko zote. Ikiwa ni robo fainali kuangalia mwakilishi wetu...
3 weeks ago, senior Ministry of Education officials approached the Makini School - State House branch to have them prepare a welcome performance for President Obama.
The 40 pupils from age 6 -...
Mechi ya leo kati ya Azam na Yanga itasadifu matokeo ya uchaguzi mkuu wa oct 25, ambapo AZAM itakuwa inawakilisha UKAWA na YANGA itawakilisha CCM atakae shinda moja kwa moja kulingana na...
Tumekuwa tukishuhudia pindi Yanga anapokuwa uwanjani, basi mashabiki wa Simba hukaa upande wa wapinzani wa yanga ili kuwazomea.
Je katika mechi ya jumatano YANGA V/S AZAM mashabiki wa Simba...
Hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup 2015) inatarajiwa kuendelea kesho Jumatano kwa michezo miwili kuchezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es...
Habari wana jf,
Ile timu ambayo tuliambiwa kuwa mchezaji tajwa hapo juu imemsajili inacheza leo dhidi ya fc Nordsjaelland mnamo saa 1 usiku.NIMEKAA MKAO WA KULA KUISUBILIA MECHI HIYO NA LENGO...
Nafwatilia Kagame Cup.
Sitokuwa mchoyo wa mawazo kwa simba iliopo sasa ingekanyaga mngelia sana, mushukuru Yanga kushauri msikanyage, yaani huko mbelen labda Yanga ndio inaweza fika mbali.
Rev...
Relentless Gor Mahia march on
George Blackberry Odhiambo (right) and Eric Ochieng cool off in the Dar es Salaam heat during a past training session. Gor Mahia beat Djiboutis Telecom 3-1 on...
unaliongeleaje hili jee man u unadhani watafuta kiu yao dhidi ys mabigwa hao wa ulaya al. au watazidi machungu hapo saa tano ucku wa leo.........
kila laheri kwa watoto wa tiktaka nou camp .
1. Baada ya kumaliza mazoezi makali ya utimamu wa mwili (ni mara mbili ya yale ya JKT kwa wale wenzangu na mimi tuliopitia huko), Simba SC ilirejea Jijijini jumamosi. Ilipotua tu jijini ilielekea...
Tanzania imepangwa kucheza na Malawi raundi ya kwanza ya mechi za mchujo kupata wawakilishi wa fainali za kombe la dunia 2018. Endapo itawatoa Malawi itapambana na Algeria katika raundi ya pili...
Kuna tetesi kwamba Yanga imemuuza mshambuliaji wake Sharman raia wa Laberia bondeni na ataondoka kesho au j3 kwenda kujiunga na timu yake mpya.
Mwenye taarifa rasmi atujuze.
Gor Mahia 1-1 Al Khartoum: Eric Ochieng on target as K'Ogalo reach quarters
By CELLESTINE OLILO
In Summary
Ousmaila Baba scored an early goal for the Kwesi Appiah-coached side, but Eric...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.