HNdugu waandishi wamepotosha sana kuhusu goli la yanga,nimeangalia mechi kupitia super sport ,donald ngoma alikuwa anatoa cross kwa msuva mbali kabisa ya goli ndipo beki wa timu pinzani...
If an artist was to claim that 2015 was their best year ever, then Sauti Sol would perfectly fit that slot. From creating hit songs to award nominations popping out from right, left and center...
Mimi mshabiki wa Yanga nikiwa Bongo, lakini leo hii naegemea upande wa Gor Mahia, maana uzalendo na Ukenya kitu cha msingi na muhimu. Bahati mbaya sikupata nafasi ya kusafiri hadi Bongo...
Habari?
Kuna wimbo wa dini umeimbwa na mkenya naupenda saana.
wimbo huu sijui jina lake wala mwimbaji ila hutumiwa na kbc tv kweny kipindi cha watu wenye ulemavu kuna maneno kama mimi ni udongo...
Kesho Yanga ya Tanzania inacheza na Gol Mahia ya Kenya katika ufunguzi wa kombe la Kagame.Kimsingi nilitakiwa kuwa upande wa Yanga kizalendo.Kwa kuwa TFF ya Malizi imeendelea kuleta siasa na...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa litamualika Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa michuano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki...
Wakati kombinesheni ya Messi, Suarez & Neymar ikizidi kufanya vizuri Ndani ya kikosi cha BARCELONA na kuwa tishio kwa vilabu pinzani duniani, Dar Young Africans ya Tanzania imekuja kivingine na...
Homa ya michuano ya Kagame inazidi kupamba moto kufuatia vilabu mbalimbali zinazoshirki michuano hiyo kuanza kuwasili jijini Dar es salaam zikiwa na vikosi vyao kamili kwa lengo la kusaka Ubingwa...
Taarifa nilizozipata toka Blog ya Bin Zubeiry ni kua kocha Mkuu wa Azam Stewart Hall amegoma kuwasajili wachezaji Nelson Lukong toka Cameron na Alan Watende Wanga kwa madai kua lazima wafanye...
Inafika kipindi lazima tukumbuke historia yetu katika maisha kila siku wapi tuliko toka na wapi tunako endelea.
Kwa wale vijana wa enzi hizooooooooo wataungana na mimi kukumbuka upinzani wa jadi...
Kwa mujibu wa Barua ya Bodi ya Ligi Kuu iliyotumwa kwa vilabu vya ligi kuu, sasa Ligi hiyo itaanza rasmi Septemba 12 badala ya Agosti 22 kama ilivyokuwa imepangwa hapo mwanzo.
Mabadiliko...
Rais wa Shirikiso la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Jamal Malinzi ameteua Kamati ya ushauri ya Ligi Kuu (VPL) na ligi Daraja la Kwanza (FDL) nchini.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo ni Alhaj Ahmed Mgoyi...
Mnamo tar 18/07/2015 Jumamosi, wapenzi wa tasnia ya mpira wa miguu wanapata nafasi nyingine ya kushuhudia mashindano makuu ya Afrika Mashariki.
Ili kupamba ufunguzi huo, shirikisho la mpira wa...
KOCHA wa Mbeya City, Juma Mwambusi alimaliza mkataba wake wa kuifundisha timu hiyo lakini kumekuwepo na siri kubwa juu ya hatima yake ndani ya kikosi hicho ingawa viongozi wa timu hiyo wanadai...
Real Madrid Retains the Top Spot for the Third Consecutive Year
NEW YORK (July 15, 2015) – Forbes released today its annual list of The World's Most Valuable Sports Teams. For the third...
David Johnny Oduya (born October 1, 1981) is a Swedish professional ice hockeydefenceman who is currently playing for the Dallas Stars of the National Hockey League (NHL). He is of partial...
Hii nimeiona hapa
Video: Hasheem Thabeet Thrown Out Of Summer League Game Against Wizards
Hivi kuna wenye news kuhusu huyu Balozi wetu huko, Inabidi tumuombee mambo yakae vizuri ni role model wa...
Moja ya fauda waluonayo wachezaji wanaocgezea Simba ni kuwa wakipata timu nzuri Simba utawaruhusu tofauti na timu ya manji inayozuia wacgezaji ili isifungwe na Simba wako wakina Lunyamila, Tegete...
Habari zenu wanajamvi.....heshima iwe kwenu!
Naomba kuulizia mwenye mawasiliano Au kujua wapi Mwl Alex Kashasha anapatikana tafadhali. Nipo Dar es Salaam.... SHUKURANI!
Cheki full schedule hapo chini:
Link hii hapa:
Schedule: Full list of preseason games for all 20 Premier League teams | ProSoccerTalk
Content ya link hii hapa:
Arsenal
15 July: Singapore XI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.