KOCHA wa Al Khartoum ya Sudan, Kwesi Appiah, amedai kushangazwa na jinsi michuano ya Kombe la Kagame inavyochagua wachezaji bora wa mechi na kudai kuwa ndiyo maana soka la Afrika haliendelei...
Wikisasa wanantumia ni beti timu fulani kwa.sh 2000.ntapata buku 18'000
Mkiona kimya mns hata buku mbili aipo tunasubiri barcelona.psg.porto.chelsea...tujaribu
A prankster who managed to get past FIFA security at the organisation's Zurich headquarters overshadowed Blatter's press conference by showering the embattled governing body's chief with fake...
Wana sport, nisaidieni kwa hili swala
hivi, mpira wa kurushwa , ukirushwa moja kwa moja golini bila kuguswa na mchezaji yeyote na ukatinga nyavuni inakuwa Goli au sio Goli????
make kuna...
naamini azamtv na supersport kuna kamvutano wa kibiashara hilo lipo duniani lakini watangazaji wa supersport hatuwasikiki waikejeri azamfc lakini wa azmtv ingekuwa hivyo ungesikia fedhuri zao hasa...
Hili CECAFA wamelifanya kwa bahati mbaya au ni ile ile ya kutembea na matokeo mkononi? Eti mshindi wa kwanza wa kundi alimo Azam atacheza kwenye hatua ya kwanza ya mtoano (robo fainali) na mshindi...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anaekipiga kwenye klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta amedhihirisha kwamba anataka kucheza soka barani Ulaya baada ya kuikataa ofa ya miamba ya...
Klabu ya Azam ya Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya na klabu ya El Mereikh ya Sudan, Allan Wanga jana kwenye makubaliano yaliyotiwa sahihi mjini Dar es...
Mgombea urais wa CCM John Magufuli hana historia yoyote katika maisha yake hususani toka awe mwanasiasa ya kujihusisha na mambo ya sanaa, burudani na michezo.
Hakuna kumbukumbu zozote...
Balozi wa Simba Octa Mshiu akipokea Hati ya Ubalozi kutoka kwa Rais wa Simba Evans Aveva. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Imani Kajula
Dhima yetu ya kuendeleza mabadiliko...
Mwenyekiti wa Klabu ya Stand United ya Shinyanga, Amani Vincent akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam.
Kampuni ya uchimbaji madini ijulikanayo kwa jina la Acacia Mining imetangaza...
Gor Mahia 3-1 KMKM: Olunga double steers slick K'Ogalo past Zanzibar opponents
Michael Olunga claimed a brace as Gor Mahia beat Zanzibar's KMKM 3-1 in a Group 3 match of the 2015 Cecafa Club...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) wanatarajiwa kuondoka kesho jumatano asubuhi kwa Rwanda Air kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya mchezo wa marudiano...
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Uhuru Seleman Mwambungu amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Jomo Cosmos iliyopanda kucheza ligi kuu ya Afrika kusini.
Uhuru ambaye msimu...
Sahau kina Pele na Maradona, Ronaldinho ni kitu kingine.
Weka mbali takataka kama Messi na Christiano Ronaldo. Kwenye historia ya mpira ushawahi kumwona nani bonge la shuti katuliza kwa...
Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group Imani kajula Akiwa Pamoja na Rais Wa Simba Sport Club Evans Aveva wakati wa Uzinduzi wa Simba Day
Dhima ya Simba Sports Club ya kuendeleza mabadiliko ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.