Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa mashabiki wa soka barani Afrika, Ligi Kuu ya England ndio sasa basi, ndio mwisho wa kila kitu, ndio eneo lao la maabadi. Nembo hii ya kimataifa katika soka inafuatiliwa na zaidi ya watu...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
nipo uwanja wa Ccm Vwawa wilaya ya Mbozi mkoa mpya wa Songwe kushuhudia mchezo wa kirafiki wa Yanga kulipa deni la mkopo wa mchezaji mwashiuya Godfrey na timu zote zimeshaingia uwanjani...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
kinachoongelewa kuwa na 9 kwa yanga na simba inamkosi inaweza kuwa kweli au si kweli lakini inaweza kuwa kweli kwa muona wa watu wengi siku ya simba day no 9 nilimuona kiiza kavaa nawashauri simba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeanza mazoezi katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa niwe clear kabisa ntaongea reality bila upendeleo, !! Arsenal bado haipo fiti!! Hebu noja tu tuwafanyie analysis mastriker na goalkeeper, Manchester united bado wanae de gea japo hatujui kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa mambo mengine ya kimicheza gonga au click hapa TANDIKA MIKEKA . huku utaona vitu kama ubashiri wa mechi kwa kila siku, ratiba za mechi pamoja na tetesi za usajili
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Ni siku ya nne sasa huduma zenu zimekua hazieleweki kwa madai ya kua network inasumbua,sijawahi experience uzembe na ubabaishaji wa namna hii!najua uwa yanatokea matatizo ya network si kwa kampuni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
ni bonge la mtanange ambao utapigwa uwanja wa taifa,UKAWA NATIONAL STADIUM.
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Shock discovery that it's too hot in the Persian Gulf in July–not to play soccer, but to watch it. The governing body for world soccer may scrap its controversial plans to hold the 2022...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Wanajamvi, kuna mtangazaji wa ITV huwa anaripoti michezo kwa Dar es salaam kwa kweli nimetokea kupenda anavyoripoti kwa kweli. Amefanikiwa kubuni sauti ya kipekee inayomvutia msikilizaji mpaka mtu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimefurahi kumuona kijana wetu Mrisho Ngasa katika klabu yake mpya ya Free State Stars ya Afrika Kusini mechi ya kwanza ya ligi kuu ya nchi hiyo. Namtakia kila la heri Ngasa.
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Yule mnyama mkali mwituni, asiye na masihara anapokutana na kitoweo mbele yake, Simba SC anazidi kunoga kisiwa cha Unguja. Simba SC iliingia Unguja siku ya tarehe 20 mwezi huu, na mpaka leo...
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Nipo ninasikiliza Radio kituo cha E fm lakini nashangazwa na kutokuwapo hewani kile kipindi chao cha habari michezo cha akina Oscar Oscar,Maulid Kitenge,Maestro. Toka saa 3 asubuhi hadi sasa saa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa Yanga wanakamilsha deal ya kumsign jembe mshambuliaji hatari laudit mavugo alie na magol 34 pale Burundi jamani Yanga kama kweli viongoz wa Simba msiwe mnatutangazia vita...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ni aibu kubwa kwa timu yetu ya Taifa yenye kupata support ya kila aina kutoka serikalini kuwa ya mwisho kwa ubora katika ukanda huu wa nchi za Afrika Mashariki. Katika viwango vya ubora katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni sentehfu beki la timu ya taifa ya togo-VINCENT BOSSOU na kiungo mkabaji wa timu ya taifa ya zimbawe na kepten wa platinum fc THABAN KAMUSOKO. Wachezaji hao watafanyiwa vipimo asubuhi hii...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Jana jioni, Simba SC iliingia uwanjani kujipima nguvu tena. Ilikua ni zamu ya timu ya Jang'ombe Boys toka Visiwani humo ambapo, walitandikwa goli 3-0.. Ni yule yule mchezaji aliye kwenye kiwango...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Chanzo cha ndani kabisa kinasema baada ya kocha kutoridhika na makipa waliopo na zaidi sana baada ya Ivo kuumia uongozi unahaha kumrudisha kundini mlinda mlango Juma Kaseja Nilikutana na Juma...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni miaka 21 imepita tangu Shabani Nonda kuelekea South Africa na baadae kufanikiwa kuvuma sana Ulaya na Dunia nzima. Baada ya Nonda kufahamika tulitetegemea milango itafunguka kwa soka letu na...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Get the latest Music and insight from Kenya Wahu... Ayub Ogada...Sauti Sol ..Octipizzo All under http://aipate.wordpress.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom