Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Je, wewe mwana JF ulikuwa wapi miaka karibu 19 iliyopita wakati wa michezo ya 100 ya Olimpiki? Mimi bado naikumbuka hii michezo kama vile ilifanyika jana. Moja ya matukio ambayo sitoweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
NGULI wa soka wa Argentina, Diego Maradona ameamua kugombea nafasi ya urais wa Shirikisho la Soka Duniani-FIFA kuchukua nafasi ya rais wa sasa Sepp Blatter. Kwa mujibu wa mwandishi na mtunzi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa sasa nipo Taifa ili nione mechi ya kimataifa kati ya Yanga vs sc villa ya Uganda, mpaka sasa timu ya villa haijawarm up na haijulijani kama kuna mechi leo. Villa wanataka wapewe kiasi cha...
0 Reactions
109 Replies
15K Views
Katika kujiandaa na michezo ya Kagame Cup itakayofanyika nchini kuanzia July 18, Azam FC itacheza na Friends kesho saa tatu asubuhi kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Mchezaji wa Uruguay kwa jina tajwa hapo juu jana wakati a mechi ya Copa America dhidi ya Chile alipewa kadi ya pili ya njano na kumfanya apewe kadi nyekundu baada ya kumpiga kofi mchezaji wa Chile...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Wanandinga naomba tujadili hili. Tumeona malanzimeni wamekuwa wakiongezwa toka wawili mpaka wanne, je kama ataongezwa mchezaji wa 12, unahisi atacheza upande upi uwanjani katika timu husika...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Pamoja na TFF kuongeza idadi za wachezaji wa kigeni [pro] hadi kufikia saba, kwa gharama hizi ni timu chache sana zinazoweza mudu hiyo idadi. 1. Ada ya kukuza Soka la Vijana. Kila timu kuanzia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa TFF Jamal Malinzi amesema kua tatizo la soka la Tanzania sio makocha wala nini bali ni wachezaji wenyewe hawafundishiki.Akikazia point hiyo aliwauliza waandishi wa habari kua kuna anaejua...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
SALAAM KIUNGO chipukizi wa Ghana, Joseph Tetteh Zutah na mshambuliaji wa Zimbabwe, Donald Ngoma kwa pamoja wanawasili kesho nchini kwa ajili ya kuja kujiunga na Yanga SC. Zutah aliyezaliwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
"Nikiwa kama mchezaji waki TANZANIA ninaecheza ligi ya hapa nyumbani na nikiwa mmoja wa wachezaji katika Timu ya Taifa ya kizazi hiki cha sasa wa Mudamrefu. Naandika hivi nikiwa na huzuni na...
0 Reactions
52 Replies
12K Views
KINGDOM---ANIMALIA (CAZORLA, NGE) ORDER NAME-SCORPIONES (NGE) Nge si jina geni kwa watu, ni kiumbe cha ajabu ktk hii dunia kikiwa na sifa mbalimbali ambazo ni tofuati na viumbe wengine. Nge muda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wahenga hawakukosea kabisa pale waliposema Duniani hakuna siri na siku zote kuishi kwingi ni kuona mengi. Nisingependa niwachoshe sana wanajamvi wenzangu, ngoja niende moja kwa moja katika...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
namtahadharisha puljin awe mkweli katika usajili wake isiwe hamtaki kwa sababu hajamleta yeye kwa maana anataka kuleta wake iwe wazuri mara mia ya kamara asivimbe kichwa kwa kuchukua ubingwa kwani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Basket ya Tanzania katika kupata akili fresh Nilipokuwa mdogo Enzi hizo Upanga kulikuwa na Mtu mmoja aliyenifnya niweze kuupenda hu mchezo na huyo sio Mwingine Ni Mr Hunta(R.IP) huyu alikuwa...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Niko njiani narudi kazini,, tuko mwendo wa kawaida tu jioni saa kumi na mbili ya hapa, tunasikiliza BBC. Mara mtangazaji anasema Kocha mpya wa timu ya Tanzania Mkwasa ateua timu mpya... kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mshahara huu kwa pesa za kibongo ni pesa ndefu sana! Lakini professional kutoka nje ya nchi hawezi lipwa pesa hii. Huyu ni homeless uko alipo or jobless au anakuja tu kama tourists na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kufuatia pendekezo la sekretariet ya TFF ambalo baadae lilipitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF kila mkoa unatakiwa kuwa na kituo chake cha kulea na kukuza vipaji vya mpira wa vijana umri kuanzia miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limefungua kozi ya makocha wa mpira wa miguu kwa watoto na vijana kwa nchi nzima kwa lengo la kuhakikisha vijana wengi wanapata nafasi ya kufundishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii timu yetu ya taifa kama ni majina tu,! Ilishakuwa na majina mengi. Pamoja na hayo yote nisawa na kumpigia mbuzi gitaa. Makocha wa aina zote! lakini wapi. Kwa nini J. Malinzi asiichukue timu...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeviagiza vilabu vinavyoshiriki Ligi kuu ya nchini (mpira wa kulipwa) Tanzania, kuhakikisha kuwa wanalipa kodi kutokana na kuajiri makocha na wachezaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom