Taarifa kutoka TFF zinasema kuwa Charles Boniface Mkwassa, ambae kwa sasa ni kocha msaidizi wa Klabu ya Yanga Afrika ameteuliwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars na atakuwa akisaidiwa na kocha...
KOCHA mpya wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ametaja kikosi cha timu hiyo pia akimteua gwiji Alhaj Abdallah Athumani Seif King Kibaden kuwa Mshauri wake wa Ufundi.
Mkwasa ameteuliwa jana...
Swali hili ningemuuliza Jamali Malinzi ila ni muda mrefu maswali hajajibu labda wadau wanaweza kunijibu.
hivi kila kikao cha tff kutoa tamko hata makocha wa stars lazima G. Nyange kaburu lazima...
Viongozi wa Yanga mbona mnashindwa kuupdate tovuti ya klabu.
Vijana wengi wanaweza kufanya hiyo kazi kwa weledi wa hali ya juu, muajirini kijana afanye kazi hiyo!
KOCHA mpya wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ametaja kikosi cha timu hiyo pia akimteua gwiji Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibaden' kuwa Mshauri wake wa Ufundi.
Mkwasa ameteuliwa...
Mbali na kuwa sehemu ya kuleta umoja,Amani katika jamii, kwasasa tasinia ya mchezo wa mpira wa miguu umekuwa sehemu ya kitega uchumi kwa watu wengi, hata serikali nyingi zinapata baadhi ya pato...
Arsenal have agreed a £10.9m fee for Chelsea goalkeeper Petr Cech according to Sky sources.
The fee was one of the key elements outstanding as Arsenal edge closer to finalising the transfer of...
AfisaMtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula Akimwelezea Jambo Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva (Aliyekaa) Wakati wa Uzinduzi wa Tovuti ya Club Hiyo Anayeshuhudia ni Makamu wa Rais wa Club ya...
Tembelea ukurasa huu kujua kwa kina zaidi juu ya wagombea hawa wawili
https://www.facebook.com/pages/Chagua-Jamal-malinzi-Uraisi-TFF-Chagua-Wallace-Karia/537340943014812
kwa muono wangu mvurugaji timu ya taifa yupo na ndio aliokuwa anamuyumbisha kocha.kwa akili ya haraka naamini ndio aliokuwa anamshinikiza kuteuwa wachezaji na kwakweli mtu yeyote timu haifanyi...
-Ni mzaliwa wa uingereza,ana umri wa 48.
-Katika kipindi anasakata kabumbu amepitia timu kadhaa kama Leeds, Reading, Kilmanock, Hamilton.. alikuwa ni miongoni mwa beki "katili" wa kipindi hicho...
Sports Extra ya Clouds FM wachambuzi ni wababaishaji. Wakati timu ya taifa inafanya vibaya walisema kocha ni kimeo baada ya kocha kutimuliwa wanadai kufukuza kocha na benchi ni kufurahisha...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania - TFF, Jamal Malinzi, kesho siku ya Jumanne tarehe 23 Juni, 2015 ataongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Tansoma eneo la Gerezani -...
Timu zetu zote hazifanyi vizuri na hazijawahi kufanya vizuri miaka ya usoni. Kumtimua kocha huyu ni sawa na kuficha nyuso za watendaji wa mpira nchini ndani ya track-suit ya kocha. Kocha hachezi...
Habar! naandika hivi kwasababu zifatazo.
1. Mkwasa ni kocha mzuri sanaa, anajua kufundisha mpira wa kibongo na wakimataifa (yanga) anaufahamu sanaa.
2. Julio ni kocha msomi, ana beji za...
Wasalaam wana jamvi!
Kocha mkuu waTaifa stars afungishwa virago baada ya kufungwa goli tatu na uganda!
Ni wazi Timu ya taifa nayo ni ya kuvunja kufukuza kocha haliwezi kuwa suluhu.
Pia kamati ya...
Nachukua nafasi hii kumpongeza Suleiman Nyambui kwa kuchaguliwa kuwa Kocha wa Team ya Riadha ya Taifa ya Brunei.
Nimefuatilia Maelezo yako AZAM Tv na nitafuatilia Jpili hii utapokuwa Live na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.