Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wapenda michezo JF naomba msome makala hii fupi niliyoinukuu toka kwenye tovuti ya gazeti la Mwananchi. Kwa ufupi nimesikitishwa na ufafanuzi finyu wa Sappi ambaye anaangalia udhaifu wa kocha...
0 Reactions
75 Replies
9K Views
Katika michuano ya Kombe la Mataifa barani Afrika, kwa wachezaji wa vilabu vya ndani tu. Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo itakuwa katika kibarua chake cha kwanza ikivaana na Uganda The...
1 Reactions
309 Replies
27K Views
Katika kikao cha kamati ya utendaji ya TFF kilichofanyika hii leo Zanzibar, pamoja na maamuzi mengine, kamati hiyo imeweka vigezo kwa wachezaji saba(7) wa kigeni wanaopaswa kusajiliwa na klabu za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello wakuu, Leo nimeona blogs kadhaa zimeripoti kwamba mheshimiwa Jamal Malinzi amempa kocha mkuu wa taifa stars kazi ya kuiondoa Uganda kwenye michuano ya CHAN ili kulinda kibarua chake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
YANGA 3 SIMBA 3 Daah hadi Half time nilijua zile 5 zinarudi,Kipindi cha pili walipoingia Vijana hao Walipoteza kabisa kiungo cha Yanga....Mara Mwombeki la kwanza dkka chache faulo akapiga Chollo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Baada ya Timu yetu ya Taifa(Taifa Stars) kuwa na matokeo mabovu takriban mechi 5 kufungwa mfululuzo ni wakati sasa wa makocha wazawa kukabidhiwa timu.Mbwana Makata ndie mtu anaefit hiyo nafasi kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Akiongea kwa ujasiri mkubwa Martin Nooij kocha mkuu wa taifa stars amesema timu yetu imefungwa magoli machache sana na timu ya taifa ya Misri. Nakumbukua kauli yake kabla ya mechi alisema...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
WATU wasiojulikana jana walilishambulia kwa mawe basi la timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars maeneo ya Kariakoo, Dar es Salaam. Basi hilo lililokuwa limebeba baadhi ya wachezaji wa...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Mpaka sasa mapumziko na Taifa stars ipo nyuma kwa goli moja likifungwa kwa uzembe wa golikipa Dida. Taifa ikicheza kwa kujilinda zaidi kwani Nooj akiwanzisha viungo wengi...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kama TFF itafata maelekezo ya Nyange Kaburu eti iruhusu wachezaji saba sasa vilabu vigomee mechi za kipuuzi isipokuwa ligi na klabu bingwa Afrika . Mimi nashangaa watu wanapiga kelele uongozi wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tuliona wiki iliyopita mnaifumbia macho Taifa Stars ikiwa Misri na badala yake mkaamua kutuwekea chereko chereko, tunashukuru sana. Na leo Taifa Stars iko Zbr, vipi mnatuonesha live ama mtatuletea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kesho inatarajiwa kushuka dimbani kucheza na timu ya Taifa ya Uganda katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Msemaji wa Yanga Jerry ametimuliwa na klabu hiyo kwa utovu wa nidhamu uliokithiri. Source: RFA-Magazetini
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake Tanzania (TWFA), George Mushumba ametangaza uchaguzi mkuu wa chama hicho utakaofanyika agosti 15, 2015 kujaza nafasi...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
lawmaina78 Ukunjenge hapa na u repeat hii maneno: Repeat: kumi, 10, ten. Halafu hesabu wenzako kumi mukuje kujibu hii maneno: To the Kikuyu tribe of central Kenya, the number 10 is considered...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Police have confirmed that Arturo Vidal was driving under the influence of alcohol when he crashed his Ferrari
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kaka Jamal Malinzi na timu yako ya uongozi hapo TFF, umefika muda wenu wa kuachia ngazi. Timu ya Taifa inaendelea kuboronga na kuendelea kulitia aibu taifa. Ni jana tu Taifa Stars imebamizwa mabao...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nipo Mwanza nafuatia baadhi ya michezo kuona kuona vipaji vya vijana wetu, takribani ya asilimia 70 ya michezo ya Moira niliona, nimeshangazwa na kanda ya Zanzibar kucheza Mpira mzuri kwa upande...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ratiba mpya ya Epl kwa msimu ujao imetoka leo Jumatano. Mabingwa watetezi chelsea wataanza na Swansea. Man Utd ataanza na Spurs pale Ot West Brom Vs Man City Arsenal Vs West Ham Nafanya...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Inapaswa TFF ikubaliane na maombi ya vilabu vya Azam, Simba na Yanga ya kuongeza idadi ya wachezaji wa nje kufikia kumi. Mie nakubaliana na vilabu hivo kwa asilimia mia moja. Ukichunguza nchi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom