Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimetoka kwenye press conference hapo Southern Sun wametangaza kuwa Rally of Tanzania inayodhaminiwa na ORYX inatarajiwa kuanza Ijumaa hii na kumalizika jumapili (14th - 16th June 2015) ambapo...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Hatuwezi kufungwa kila siku, mpaka timu za ajabu ajabu zinatufunga hata droo tunashindwa? Malinzi ndo aliyemleta huyu kocha na kumtimua Kim kisa tu alikuwa ameletwa na Tenga, Uongozi wa Malinzi...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Ni nadra sana kunikuta najadili maisha ya mtu binafsi. Lakini kama mjadala huo utakuwa unahusiana na jambo lolote linalogusa public interests, basi huwa sina budi kujadili Wiki zaidi ya moja...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Mchezaji wa zamani wa Young african(kushoto waliokaa) aliyehamishia makazi yake nchini Oman kwa zaidi ya miaka 25 sasa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
​ Sepp Blatter is reportedly considering staying on aspresident of FIFA, having received the backing of several federationsin Asia and Africa, according to the Swiss Sunday paper Schweiz...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama njia ya kuondoa malalamiko ya chama cha soka Zanzibar [ZFA] kua soka la Zenji linahujumiwa na TFF.. Aden Rage amependekeza leo Bungeni kuundwa kwa chombo kimoja kitakachosimamia kabumbu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Karibuni katika uzi huu tujumuike kwa ajili ya matukio na matokeo yatakayojiri katika pambano la soka baina ya Taifa Stars waliopo ugenini kupambana na Mafarao wa Misri. Huu ni mchezo wa pili wa...
3 Reactions
243 Replies
35K Views
Kocha alieifundisha timu ya Tanzania Prisons kwa mechi 7 tu kwa msimu wa ligi wa 2014-2015 Mbwana Makata amechaguliwa kama kocha bora, akiwabwaga makocha wa yanga na simba Hans van Pluijm na...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Nahiso kina sehemu nyingi.pesa zinaitajika badalayakutiana aibu kwenye timu ya taifa..je kunaumuhimu wakuwa.na timuyataifa?? Kama ndio andika n kama siyo andika s hujui andika h
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kufuatia kuondoka kwa Xavi pale Barcelona ambapo anaelekea Uarabuni kuchuma hela ya mafuta, Dunia ya Soka imepoteza mmoja kati ya viungo bora zaidi kuwahi kutokea katika soka. Ifutayo ni list...
1 Reactions
94 Replies
15K Views
Wadau ninaomba kujua ni channel ya TV na mda gani itarusha mtananange wa TAIFA STARS na MISRI hapo tarehe 14/6/2015 ?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 2015 went down last evening, June 13, at Milimani City Hall in Dar es Salaam where singer Ali Kiba won big to become the most decorated artiste of the...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu Habari! Nimeamua kumuongelea Kado lakini najua suala hili linawahusu wanamichezo wengi. Jana nimeangalia tuzo za vodacom za wacheza soccer nikashangaa sana kumuona kado na wengine wamevaa...
5 Reactions
25 Replies
5K Views
nipo hapa Marekani kwa takribani 5years.nafuatilia muziki wa bongo na nnauelewa.ninachoshangazwa watz hatupendi mtu kufanikiwa.kinachoendelea hapo bongo ni chuki za fulani anaendelea.nina rafiki...
1 Reactions
0 Replies
822 Views
Licha ya mbwembwe na umaarufu wa Lionel Messi na Christiano Ronaldo, lakini mkubwa Manny Pacquiao aliyezipiga juzi kati na Floyd Mayweather amewapoteza mbaya kwa kuwa na mkwanja mrefu . Hizo ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MY LAND IS KENYA!!!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo hii ndio siku ambayo sakata la Ramadhan Singano a.k.a Messi lilikua linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pande mbili zilikutana chini ya TFF. Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa...
1 Reactions
119 Replies
14K Views
Love makes you do crazy "things." I bet we all can identify with this struggle.
2 Reactions
7 Replies
5K Views
unapozungumzia tms anayeingiza kwenye huo mtandao ni nyinyi viongozi na wala sio singano. unapozungumzia mkataba ambao upo kwenye tms haina tofauti na mkataba mliokuwa nao wa kudai miaka 3. sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom