Hawa ndio wachezaji wanaoiwakilisa YANGA AFRICA huko TUNISIA
MAKIPA
Ally mustafa' Barthez
Deo munishi Dida
MABEKI
Pato Ngonyani,
Oscar Joshua,
Edward Charle
Nadir Cannavaro,
Juma...
Binafsi nazifahamu hizi
Defensive Mids
Hawa siku hizi wanacheza kama mabeki au mabeki wanacheza kama viungo wakabaji kwa timu zinazomiliki mpira sana. Mabeki viungo wanajulikana kama ball...
Kuna habari nimekutana nazo facebook kwamba simba wamepewa nafasi ya kushiriki kagame cup badala ya mbeya city kwa kigezo kwamba wao ni wazoefu...habari hizi sijaziona wala kuzisikia kwenye blog...
Hussein machozi katika pozi
Muimbaji wa Bongo fleva Hussein Rashid Dodi a.k.a Hussein Machozi, ametangaza kuwa mwakani (2016) huenda ukamuona akiingia uwanjani kuichezea timu ya soka ya Kagera...
Six Blues in Team of the Year
NEWS
Six Chelsea players have been named in the PFA Premier League Team of the Year.
Branislav Ivanovic, John Terry and Gary Cahill make up three-quarters of the...
Boxer
Born
Dec. 17, 1978
Nationality
Filipino
Emmanuel Manny Pacquiao is a famous Filipino boxer and politician. He is the first and only eight-division world champion. He has won 10 world...
mabondia floyd mayweather'money' na many pacquiao'pacman' wamewasili jijini las vegas hi leo ambapo kuna ukumbi wa MGM litakapofanyika pambano hilo...huku mayweather kama kawaida yake akiwasili...
kutokana kumbukumbu zilizopo kwenye Wikipedia, ubingwa wa Tanzania kati ya Simba na Yanga (ukiondoa huu wa mwaka 2015 wa Yanga) inaonyeshwa kama ifuatavyo:
1. Tanzania Bara
Simba bingwa mara...
Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini TF, leo hii limepokea maombi toka Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), likiitaka Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo ngazi...
Leo ni leo tusubiri kuthibitishiwa ule usemi ''Mtoto wa nyoka ni nyoka' au mtoto wa nyoka leo atakua mjusi pale ambapo bondia Mohammed Matumla toka Tanzania watazipiga na Wang Xing Hua toka China...
Naama wadau tayar time yetu Dar Young Africa washatangaza ubingwa leo baada ya kumchapa Polisi Morogoro bao 4-1
^^CHELSEA ^^
Bado mshabiki kama mm nina kiu ya...
Kama fedha inayoambatana na ubingwa hailingani na fedha inayotumika kwenye usajili,na siku zote bingwa huwa anaishia hatua za mwanzoni kwenye mashindano ya Afrika.Sasa jambo la kujiuliza kipi...
[2:36pm, 4/29/2015] Amina Gazeti Uhu: Jamani kilichojiri huku ni kwamba mwenyekiti wa yanga Yusuf Manji ameipiga faini ya sh. Billion 3 kwa kosa la kuandika Habari ya uongo...
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba hali ya kiuchumi si nzuri katika klabu hiyo, kutokana na mapato katika mechi zao kushuka kwa zaidi ya asilimia 50...
Wadau wa mpira wa miguu nimeona tuwe na uzi ambao utajikita katika kuchambua takwimu (match statistics) kwa undani zaidi.
Wale ambao michezo wa mpira ni taaluma yao karibuni hapa mtoe utaalam...
Kwa washabiki wa mashindano ya Magari( Motorsports) kutakuwa na mchezo huo siku ya tarehe 02/05/2015( Kucheki magari na kupanga orodha) na tarehe 03/05/2015 (Mashindano) mkoani Tanga. See...
Legendary wa bolingo pepe Kalle aliimbia yanga Mwaka 1992 nyimbo ya kuipa hongera ya ubingwa Africa mashariki na kati Je why simba haijawah kupaishwa kabisa hvyo inaonyesha yanga ni timu kubwa...
Where Manny Pacquiao got his grit: Contender pictured as a teenage boxer in a Manila gym as he prepares for $300m fight against Floyd Mayweather in Las Vegas
Manny Pacquiao will take on Floyd...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.