Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kutokana na mwendo wa kusua sua wa timu ya Azam FC Club kongwe nchini Dar Yanga Africa itatangaza ubingwa mapemaaa
0 Reactions
26 Replies
3K Views
M semi-final ya kwanza tarehe 5 na 6 marudio 11 na 12 May
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Barcelona inakutana na Bayern Munich na Juventus inakutana na Real Madrid. Mechi za kwanza th5/6 marudiano th12/13 mei
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana tumeshuhudia vijana wa Jangwani wakishinda kwa mbinde sana mbele ya Stand Utd, Leo kivumbi kingine ambapo Simba watakuwa na kibarua kigumu sana mbele ya Mgambo JKT toka jijini Tanga timu...
1 Reactions
157 Replies
14K Views
Unajua kwanini yanga hawataki kusikia simba wanashika nafasi ya pili? Kabla ya ligi ya msimu ujao kuanza kunakuwa na pambano la ngao ya jamii inayoikutanisha mshindi wa kwanza na wa pili...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
jams mbona nikifungua website yao meridian haionesh kitu nataka nijiunge
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkoani Arusha mwishoni mwa juma hili kunataraji kufanyika michuano ya NDONDO CUP itakayoshirikisha jumla ya timu nane kutoka mkoani hapa. Lengo la michuano hiyo ni kuwakutanisha wapenda soka mkoa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wapenzi na wadau wa mpira wa miguu ni matarajio yangu mlifurahi mitangani ya UEFA CL jana usiku.Nimekuwa nikifuatilia sana waamuzi wetu wa mpira wa miguu Tanzania hivi karibuni au tangu zamani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
From right to left, the then Barcelona manager Louis van Gaal, assistant coach Ronald Koeman, keepers' trainer Frans Hoek and assistant trainer José Mourinho during a friendly in Amsterdam in 1999.
0 Reactions
3 Replies
994 Views
Majeruhi na kufungiwa kwa baadhi ya wachezaji wa Real, itaufanya mchezo wa leo kuwa wa upande mmoja. Ikumbukwe Real itawakosa, Bale, Benzema, Modric na Marcelo. Atletico Madrid, timu ya...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Atretico Madrid wametembea kwa miguu kuelekea katika Dimba la Estadio Santiago Bernabeu ambapo ndipo nyumbani kwa mabingwa watetezi wa UCL na pia ndio wenye rekodi ya kubeba ndoo hii mara kumi...
2 Reactions
88 Replies
7K Views
Naomba Kujua Simba Na Yanga Zilianza Rasmi Lini Kwa Kila Moja
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Katika muendelezo wa Ligi kuu Tanzania Bara leo tar. 21/04/2015 Yanga Afrika ya jijini Dar es salam itakuwa uwanja wa nyumbani (uwanja wa taifa) kuikaribisha timu ya Stand United (Wapiga debe)...
2 Reactions
346 Replies
28K Views
Octopizzo delivering another gem. Something for you! :wink2:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa kipigo hiki wanachokipata leo bayern dhidi ya porto kwa kweli guardiola inatakiwa ajipange sana ili aweze kutamba champions league.baada ya kutoka ratiba ya robo nilisema bayern wamepata...
0 Reactions
126 Replies
9K Views
The biggest group in East Africa is back with another smash hit Nerea.................................
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Afrika Kusini (SAFA) Dr.Danny Jordan kufuatia kifo cha nguli...
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Baada Ya Yanga Kushinda Kwa Tabu Kwa Goli 3 Kwa 2, Kocha Wa Stand United Asema Yanga Walibebwa Na Refa Kwa Kupewa Penalt Ya Bure Tu Kesho Kama Kawaida Simba Sc Wataingia Uwanjani Kucheza Na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake. *Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=jbuVydPcTqg The Verratti & the badass. ANARUDI LEO. Mizimu ya Franco iwe nao PSG.
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom