Gravity Force is the largest indoor trampoline park in the UK. During this time the park is exclusively open for Toddlers between walking age and 5 along with any accompanying parents or...
Team Ya Baryen Munich Imefanikiwa Kufudhu Nusu Fainali Baada Ya Kushinda Kwa Goli 6 Kwa 1 Na Kufikisha Jumla Ya Goli 7 Kwa 4 Baryen Sasa Yaenda Fainal
Huku Mchezo Mwingine Uliopigwa Pale Nou...
The magician Lionel Messi leo ataiongoza FC Barcelona kuiondoa mashindanoni PSG ya Ufaransa. Barcelona wana akiba ya mabao 3-1 waliyoipata jijini Paris katika mechi ya kwanza. Pamoja na kurejea...
Wadau game la leo limetawaliwa na Man u..lakini final result ni Chelsea 1 Man u 0.. kama ingekuwa timu nyingine ikacheza kama ilivyocheza Chelsea leo Dhidi ya Man U lazima ingechezea Bakora za...
Tar 18.04.2015 Yanga ilikua U/TAIFA ikiiwakilisha TANZANIA ktk michuano ya kimataifa.
Ktk mechi hiyo MBUYU TWITE alikua akicheza no6.
Baada ya cap(CANAVARO)kuumia kipindi cha pili,aliingia...
Hivi hebu tujadili, je kenya iwarudishe wakimbizi zaidi ya laki tano kwao Somalia? Sehemu kubwa ya wakimbizi hao ni waislam ambao alshabab wanadai wanawalipizia kisasi, kisa ni kuwa wanadai...
kama viongozi wa yanga wana akili ya kiuongozi mashindano ya bonanza ya cecafa kagame cup wasishiriki japo yanafanyika hapa nchini.
mwaka jana walitaka kupeleka timu ya vijana musonye alikataa na...
Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF iliyokutana Aprili 19, 2015 imepanga kusikilizwa kwa rufaa ya Damas Ndumbaro Mei 10 mwaka huu, makubaliano ambayo yalifikiwa na pande...
Kama kawa leo ndio leo, Wote tuiombee Yanga itutoe kimasomaso.
Updates zote ziwekwe hapa!
Mashindano: Kombe la Shirikisho la CAF, Raundi ya 2, Mechi 1
Yanga Afrika vs Etoile Sportive du...
Ni Sawa Na Kumkimbiza Mwizi Lakini Tukawa Tumesahau Kufunga Mlango.
Nikimaanisha Kwamba Tulijazana NYOMI La Kufa Mtu Kuwapa Sapoti Etoile Sportive Du Sahel Taifa Lakini Kikosi Chetu Cha Homa Ya...
Hivi huyu ronaldo ana impact gani na mechi kubwa ?
Hivi mechi gani kubwa Ronaldo kawa man of the match ??
Kila nikiangalia ronaldo mechi kubwa ni mavi tu
Ile mechi na dortimund aliishia...
Kiukweli E.P.L Sasa Imefikia Pazuri Jana Watu Kama Kane Na Aguero Wametupia Wote Na Kufikisha Jumla Ya Goli 20 Kila Mmoja Kwa Upande Wangu Naona Kane Atachukua Kiatu Cha Mfungaji Bora Pale E.P.L...
Ondoa viongozi wote ambao ni wa Tz kwenye timu yako ya mpira na utangaze nafasi za kazi kwa wataalamu wa mpira kutoka nje ya Tanzania,ikiwa kweli kama unania ya hapo baadae kuwa na timu bora...
Kwakweli mungu tu alete miujiza tuwatoe huko Tunis.nimeamini mpira ni sayansi si uchawi wakuchinja kondoo uwanja WA Taifa.Viongozi wetu WA Moira WA TZ.hawana mbinu za nje ya uwanja.?hawajui...
Jamani naomba kuuliza kuhusu huu uzito wa haya mapambano ya ngumi
KUHUSU UZITO.
Heavyweight, middle weight light weight na uzito mwengine? Wanatumia vipimo gani mpaka kujua huu ni uzito wa juu...
Rais wa Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF Jamal Malinzi ameunga mkono kauli iliyotolewa jana na Baraza la Vyama vya Soka kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (COSAFA) kupinga ubaguziwa utu na vurugu...
Leo ndio Leo hapa mbeya . Mbeya city ikitaka kujiahakikishia inabaki ligi kuu Mbele ya mteja wake Wa Siku zote Simba itamenyana vikali apa Sokoine. Simba ikitaka kushika nafasi ya Pili ligi kuu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.