Aisee huyu Mh. Mwigulu anaipenda sana timu ya Yanga, mimi binafsi simkubali ktk siasa zake ila kwa hili la kuichagua Yanga namuunga mkono 100% japo mimi ni mikia nasubiri kushuka daraja mwakani...
Wana body katika hali inayo onekana ni vitimbwi vya mwaka TFF wameibuka na mchezo wa soka wa kando ya pwani (beach soccer) wakati hilo football limetushinda na kila kukicha tunaboronga.tuchangie
Matokeo
Yanga 4 - Polisi Moro 1
Kwa Matokeo Hayo Yanga Imefanikiwa Kutwaa Ubingwa Wa Ligi Ya Tanzania Bara
=========================================================
Ni mechi ya ubingwa kwa...
HABARI za michezo katika siku za hivi karibuni zimekuwa zikipambwa zaidi na habari kuhusu nafasi ya Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Kwa mujibu wa msimamo wa ligi na hatua...
Uongozi wa klabu Ya soka Ya Yanga unapenda kuwaalika wananchi wa Tanzania na Nchi jirani kuungana Basi kesho katika shamrashamra za ushindi wa ubingwa wa michuano Ya ligi kuu nchini.
Katika...
Harry Kane wa Tottenham Spurs, Alexis Sanchez wa Arsenal, Phillippe Coutinho wa Liverpool, David De Gea wa Manchester United, Diego Costa wa Chelsea na Eden Hazard wa Chelsea, wamechaguliwa...
Eliud Kipchoge crosses the finish line to win the men's 2015 London Marathon on April 26, 2015. PHOTO | SEAN DEMPSEY | AFP
Eliud Kipchoge led a Kenyan clean sweep of the podium places as he won...
Beki wa Simba, Abdi Banda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa tuhuma za kushiriki upotevu wa gari lililoibiwa.
Habari za uhakika zilizoifikia SALEHJEMBE zimeeleza kuwa Banda...
Msaada juu ya hilo jamani. Nina siku 10 tu ambazo natakiwa kujua kuofelea kwa style zote, kujifunza kuokoa na mbinu tofauti, kupiga mbizi na mengineyo.......
uongozi kamati ya mashindano na katibu wa baraza la wazee wasipokuwa makini yanga kukosa ubingwa.
dalili zinaonekana wazi ni kama wamelidhika na ushindi mfurulizo.
kibaya zaidi inacheza na timu...
No one can ever brainwash me to make me believe that Sugar Ray Robinson and Muhammad Ali were better than me, Mayweather told ESPN.
But one thing I will do, Im going to take my hat off to...
Manny Pacquiao will don the most expensive shorts in history as he takes on Floyd Mayweather in their superfight on May 2.
Advertising space on the Filipino star's shorts has been sold off for an...
Huu ni mwendelezo wa ligu kuu Tanzania bara na leo tar 24/04/2015 Yanga ya dar es salaam inaikaribisha timu ya Ruvu shooting ya pwani.
Mchezo unatazamiwa kuwa mkali na wakusisimua kutokana na...
Ninashauli mechi ijayo yanga icheze kombe likiwa uwanjani kusudi wakishinda wapewe kombe lao kama wanavyofanya ndugu zetu wa uingereza kwenye ligi yao pale bingwa anapofikisha pointi ambazo hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.