Naona jamaa wabarca wako ikulu yetu wanakunywa chaîne na raisi
mh unajua kunamadadawa taifa nao wameingia all africa game vipi ukawapongeze kwakuwaita ikulu hawa hata kashata tu pu wtashukurumkuu...
UPDATES:
FT : Ndanda FC 0 - 0 Tanzania Prisons
FT : Mtibwa Sugar FC 1 - 1 Azam FC ( Mussa Mgosi for Mtibwa | Himid Mao for Azam)
FT : JKT Ruvu FC 0 - 2 Coastal Union ( Ike Obbina, Rama Salim)...
Miaka yote kombe lenu ni Top4! Safari hii kulikoni mbona hatuwaeleni? Kuweni wastaarabu basi kwenye mechi zilizosalia muonyeshe uprofeshenolizm! Yaan mtuovertek kwel mwishon kabisa wakat msimu...
Kama kawaida msimu wa ligi unapoelekea kwisha Simba inapokutana na Azam ,inakuwa imepoteza dira, na mbio za ubingwa zinabakia kwa timu kubwa TZ, Yanga na Azam.
Msimu huu tena tutaishangilia...
Nilikua niki tegemea tbc wataonyesha mchezo wa twiga stars na zambia lakini awakuonyesha wala kutangaza kwenye radio. Kumbukeni kua twiga stars inakua ikifanya vizuli kuliko timu yetu ya wanaume...
wakuu baada ya kufanya kaz na mbet sasa naitaji kuanza kubet kupitia meridianbet online naomba msaada maana website yao ukifungua haineshi kitu naomba msaada anayejua zaidi
Wadau Shumaramuuu!!!!
Naombeni Mlioko Dar es Salaam mtupe updates za kinachoendelea Uwanja wa Taifa maana naambiwa mechi ni leo. Nimesubiria sana mlioko mjini walau muanzishe update lakini naona...
Kwa kipigo cha 8-0 walichopokea Coastal Union toka kwa Yanga,Julio hatawasahau Yanga. Ni kipigo chake pekee cha paka mwizi akiwa mchezaji na hata kocha. Ni kama Mourinho alivyopigwa 5 na Barcelona...
Timu ya soka ya Tanzania-Taifa Stars imepangwa kundi G na Nigeria,Misri na Chad katika kufuzu AFCON mwaka 2017 nchini Gabon.
Draw imefanyika leo jijini Cairo,Misri. Kila la kheri Taifa Stars...
Huu ni msimamo wa Ligi Kuu Bara, baada ya mechi za jana Jumatano
Welcome on board Mkuu! Msimamo huu hapa: (Kuna mparaganyiko kidogo wa columns, kong'oli kwenye source)
Rnk
Team
MP
W
D
L
GF...
hivi ni kweli msimu ujao wa klabu bingwa ulaya uingereza itaingiza timu tatu tu?
Manake liverpool alitoka kwenye makundi, arsenal, chelsea na man city walitolewa hatua ya kumi na sita bora.
Kwa mwenendo wa ligi Simba mwaka huu inaelekea kuaga Ligi Kuu na kucheza ligi Daraja la Kwanza.
Llakini hii inatokea kama utani vile japo ni swala la muda na wengi hawataamini
Leo ndiyo leo mtoto hatumwi dukani.
Baada ya vijana wa jangwani kufanya mambo makubwa na mazuri kwenye Kombe la Shirikisho leo watakuwa Uwanja wa Taifa kukipiga na timu dhaifu kabisa Coast Union...
Baada ya jana kufunga mabao matatu katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Levante kwenye La Liga,mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi aka Andunje amebakiza mabao mawili kumfikia Christiano Ronaldo wa...
Full Time:
Yanga imesonga mbele licha ya kufungwa goli moja na FC PLATNUM ya Zimbabwe kwenye Kombe la shirikisho ikijivunia mtaji wa bao 5-1 mechi ya awali hapa Tanzania
Kama heading ilivyo naomba uongozi wa TFF na wadau wote wa soka wachunguze mechi ya Simba na Kagera iliyopigwa Shinyanga.
Binafsi nimechukizwa na mwamuzi wa mchezo huo kwa kuonesha upendeleo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.