Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF limetangaza viingilio vya mchezo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Zambia (She-Polopolo) kiingilio cha...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Hizi timu zimekuwa zikiliwa sana na viongozi na saa asasaaa yanga timu ya africa tumeamua kuwaletea mdeni wenu ..kwa wale waliokuwa wakihangaika kujua hizi hela zimeenda wapi hawa jamaa wanakuja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kusema ukweli nimeangalia hizi videos hadi chozi likanilengalenga, haswa ile ya kwanza...na tukio la yule dogo msauzi. Soka ni mchezo wa furaha, amani, upendo na kuheshimiana...wacheza soka wengi...
32 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa sheria za tff,mechi inapoahiriahwa kwa sabb ya mvua au matatizo mengine ya hali ya hewa mechi hiyo inatakiwa kuahirishwa na itachezwa kesho yake asubuhi..lakini hapa mechi ya simba...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Hao hapo. Mtakoma kujuta mbona. Alafu wanavaa jezi za kiume dadadeki!!!
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Naomba mnijuze hii mechi ya simba na kagera itachezwa leo huko shinyanga? Na itaonyeshwa live na azam??? Nijuzeni pls
0 Reactions
144 Replies
14K Views
Ligi Kuu Uingereza Iliendelea Tena Hapo Jana Kati Ya Man City Na Crystal Palace, Ambapo Man City Imejikuta Ikipokea Kipigo Cha Goli 2 Kwa 1, Hadi Halftime Man City Ilikuwa Nyuma Kwa Goli, Na Mara...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna wengine wanaofuatilia hii kitu? Tayari Duke in, Michigan State out. Tusubiri mtanange kati ya undefeated Kentucky Wildcats na Wisconsin Badgers. Binafsi nadhani Badgers wana nafasi kubwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wamewaondoka BenfiSahelBenficangola kwa ya bao 2-1 jubao kukYangakimataifa kimasasakimataifaatch history: Benfica de Luanda Club Angola E.S. Sahel Club Tunisia Saturday 14/3/2015 African...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo katika uwanja wa CCM Kambarage kulikuwa na pambano LA Ligi kuu ya Vodacom, baina ya Stand Utd na Mtibwa Sugar. Mechi Hii ilisimamishwa katika dakika ya 34 baada ya mvua kubwa na kuzuia...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Friday, 14 February 2014 10:10 Written by Jeff Omondi (Writer): Back in the 60s up until early 90s Kenya was the yardstick of Africa music. As an African artist if you didn't record or release...
1 Reactions
22 Replies
11K Views
Wadau wa soka nimekuwa nikijiuliza kwani Taifa stars au vilabu vya Tanzania katika mashindano ya kimataifa Mara nyingi mechi ya kwanza tunaanzia Tanzania? Wadau kama mtu anafahamu sababu atujuze
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari yako mwanaJF, natumai umzima. Napenda tujikumbushe kwenye riadha, kwani Watanzania wengi tumepuuzia huu mchezo na kuwaachia majirani zetu Kenya. Ninapenda tuwekeze pia na hapa, kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Where does it rank amongst the best goals ever? Stoke midfielder Charlie Adam stuns Chelsea (and embarrasses their goalkeeper) with 66-yard SCREAMER
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa wale wachezaji mpira wa miguu mnaojiita wachezaji wa zamani kujifanya mlifanya vizuri kwa lipi. mlilifikisha wapi taifa lenu sioni na sijasikia kwamba mlifika hata fainali kombe la afcon...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ajali gari ya Simba UKAWA yapata ajali na kuua.. Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa wale wanachama wa Simba UKAWA wamepata ajali wakiwa wanaelekea Shinyanga. Inasadikika zaidi ya watu...
0 Reactions
62 Replies
53K Views
Mnyama leo anaingia uwanjani akiwa amenyong'onyea sana baada ya kupoteza wanachama wake kadhaa katika ajali ya basi iliyotokea jana jion. wachezaji na viongozi wa simba wanaingia uwanjani wakiwa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Adhabu wanayoipata ndugu zangu wa liverpool leo...utawaonea huruma...arsenal wanawatesa sana wenzao HT tu ni 3-0
0 Reactions
2 Replies
1K Views
He would leave out a world-class mid-fielder, just to play a world-class full-back in the mid-field.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom