Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Safi sana Tido Mhando kwa kumvuta kijana wako Charles Hilary. Nyumbani ni Nyumbani. Maulid Kitenge nae....?
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wana jamvi? Simba sports club imeanzisha utaratibu wa kutoa zawadi / tuzo ya gari kwa mfungaji bora wa msimu... (ITV habari za michezo jana) My take: Kwa kuwa mchezo wa mpira ni team...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kikao cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kilichoketi jumanne ya tarehe 24, Machi 2015 jijini Dar es salaam, kimepitia taarifa mbalimbali za michezo iliyochezwa na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Match Kali Na Ilyokuwa Ya Muhmu Kwa Arsenal Wakiwa Uwanja Wao Wa Nyumbani Emirates, Wamewapa Kipigo Cha Goal 4-1 Dhidi Ya Liverpool, Huku Ikiwa Goli 3 Zimefungwa Kipindi Cha Kwanza Ndani Ya Dakika...
1 Reactions
0 Replies
810 Views
Leo viwanja mbalimbali nchini Tanzania na hata huko Zimbabwe kutakuwa pia na mpambano mkali kati ya F.C PLATINUM VS YANGA Ligi Kuu Tanzania Bara Kagera Sugar vs Simba, Uwanja wa Kambarage...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
ndege iliobeba wachezaji wa yanga sio walivyochelewa eti kwa sababu ya malipo.ndege asubuhi ilienda dom ikaridi saa 3 na inapaki uwanja wa zamani ifanyiwe cheking ije ipaki uwanja mpya wale...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kagera Sugar 10 JIONI Simba Ndanda 10 JIONI Mbeya City JKT Mgambo 10 JIONI Polisi Morogoro Ruvu Shooting 10 JIONI Ruvu Stars Azam 10 JIONI Young Africans Stand United 10 JIONI Mtibwa Sugar Coastal...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ghana goal poacher John Antwi has completed a $2.2 million move to Saudi Arabia's Al-Shabab from Ismaily, the Egyptian club's chairman said Wednesday. Mahmoud Aboul-Saoud revealed in a...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza nianze kwa kukupa pole kaka yangu Kaseba maana daily unakutana na vichapo vikali, nadhani unamkumbuka brother Cheka na unakumbuka vipigo alivyo kusukumizia. Mimi nadhani kwanza unyoe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ghanaian striker John Antwi completed a $2.2 million move to Saudi Arabia's Al-Shabab from Ismaily, the Egyptian club's chairman said on Wednesday. Mahmoud Aboul-Saoud said in a television...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Mchezaji ambaye amecheza timu ya Taifa wa miaka 12 mfululizo huku akichezea klabu moja tu maishani na kubeba majukumu ya unahodha klabuni na timu ya Taifa anaweza kushindwa kuwa kocha bora...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Uko poa mwana Jf?. Kichwa cha habari chahusika. Je,inahesabika kama hat-trick? Je,ataondoka na mpira? Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kenyan event organizers and promoters seem to be trending towards South Africa and Nigeria for entertainers. Our radios seem to be playing 80% foreign music and only 20% Kenyan music – the 80%...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa kawaida upinzan katika mpira hususani simba na Yanga ni mkubwa sana .....lakini jambo ambalo Jerry Muro alimtuhumu mjumbe wa simba sports club kuingia kinyemela katika jengo la Yanga ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
sipingi jkt ruvu kufungwa na yanga goli 3-1 hapana napinga aina ya uchezaji wa jkt ruvu sio mpira ambao anaocheza jkt ruvu kama mtu anaifuatilia aina ya uchezaji wa jkt atakubaliana na mimi
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Baadhi ya washabiki husema mimi ni Simba, wengine wanadai mimi ni Yanga. Ndugu zangu wanasoka, sio kila Mtanzania ana mapenzi ya Simba ama Yanga, wapo ambao hawazipendi hata kuzisikia timu hizo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Rais wa tff ameyasema hayo leo alipohojiwa na vyombo vya habari
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimemsikiliza Sports Extra mara nyingi analopoka tu bila ya ushahidi Leo kwenye kipindi anasema mechi za Azam kati ya Simba na Yanga zinachezewa Uwanja wa Taifa badala ya Chamazi anashindwa kujua...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Leo Rais wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Leodegar Tenga na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) akiwa na Rais wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom