March 22, 2015
Lusaka, Zambia
Zambia National Women teams dream to qualify for the 2015 Congo Brazzaville all Africa games is in doubt after they lost 4-2 to Tanzania at Nkoloma stadium on...
Baada ya Rais wa Simba Evans Aveva kuagiza benchi la ufundi kuakikisha wanashinda mechi zote zilizobakia , maagizo haya yanaanza kufanyiwa kazi leo baada ya vijana wa msimbazi kuahidi soka safi na...
Ni miaka zaidi ya mitatu timu yetu ya simba haijashiriki mashindano yeyote ya kimataifa. inaona kuifunga yanga pekee ndiyo imemaliza ligi kuu na kuchukua ubingwa. Matokeo ya leo kati ya yanga na...
Wanabodi,
Leo ndio ile siku iliyokuwa inasubiriwa ambapo droo ya robo fainali ya Uefa Champions League (UCL) inafanyika pale Nyon Uswizi.
Droo inatarajiwa kuanza saa 8 mchana kwa masaa ya hapa...
Cristiano Ronaldo may have just won the Ballon d'Or for the second successive year in a row, but has the Real Madrid ace lost his trophy girlfriend?
The Portuguese star has reportedly been dumped...
Leo ni kindumbwe ndumbwe uwanja wa Mkwakwani mechi kati ya Mgambo FC ( kiboko ya vigogo) watawakabili wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa Dar es salaam Yanga African mnamo...
Mimi napenda rap katuni, staili iliyoasisiwa na kundi la Bongo Gangwe Mobb (Inspector Haroun na Luteni Karama). Staili hii huwa inahusisha kuimba mambo ya msingi katika maisha lakini kwa style ya...
Kwa miaka 10 iliyopita kumekuwa na vipaji vingi ambavyo vimekuja na kutesa katika soka letu la dunia ya leo.
Kwa mtazamo wako wewe ukiwa kama mdau wa soka ni wachezaji gani bora zaidi ambao...
Wimbi la timu za Ligi Kuu ya Uingereza almaarufu EPL limeendelea jana ambapo Everton imepigwa bao 5 kwa 2 na Dynamo Kyiv ya Ukraine kwenye Europa. Everton ni timu pekee ya EPL iliyosalia katika...
Kwa upande wangu hii ndio timu yangu bora tangu nianze kufuatilia Moira 1998
1.Buffon. juventus & Italy
2.Cafu. Ac milan & Brazil
3.Paulo Maldin. Ac Milan & Italy
4.Alessandro Nesta.Ac Milan &...
Huenda sasa ndiyo wakati wa Yanga kuonyesha upendo kwa mwenzao kwa kuwa shabiki na Mwanachama wa Klabu ya hiyo, Carlos Leonald ‘Carlos The Don', ni mgonjwa na anasumbuliwa na miguu.
Taarifa...
The draw, which takes place at midday in Nyon, will not contain any seeds and teams from the same country could be paired off against each other.
There will be an open draw for this round of the...
Timu ya Taifa ya soka la Ufukweni (Beach Soccer) imewasili salama jijini Cairo nchini Misri tayari kwa mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji kuwania kufuzu kwa fainali za mataifa Afrika...
Mechi ya Ruvu Shooting na Simba iliyokuwa ichezwe kesho Jumamosi uwanja wa taifa Dar es salaam imeahirishwa hadi keshokutwa, Jumapili, March 22, 2015.
Mabadiliko hayo ni kutokana na bodi ya ligi...
Shirikisho la soka Duniani, FIFA limethibitisha rasmi mabadiliko ya muda wa kuchezwa kwa Kombe la Dunia la mwaka 2022 litakalofanyika nchini Katar.
Mabadiliko hayo ni kuhamisha tarehe ya...
Following the football injustices that happened in the European competitions for the mighty Premier League, I have come up with some solutions which might help preventing this from ever happening...
Hatimae wanaume tayari wapo jiji la Tanga, shughuli zilizokua zinaendelea leo ilikua ni kufungua matawi ya wapenzi wa timu ya wananchi, nashndwa ku attach picha jamani.
wandugu nilikuwa nataka kuangalia ratiba za mechi wikiendi hii. nimeenda tff.or.tz nimekasirika sana. website inahabari za zamani za mtani jembe. na kwenye recent results wameweka mechi ya azam na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.