Wiki mbili zilizopita serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Habari, Vijana na Utamaduni, Juma Nkamia, ilitangaza kusitisha matumizi mfumo wa kisasa wa matumizi ya tiketi za elektroniki (ETS) kwenye...
Bondia nyota zaidi nchini, Francis Cheka ameachiwa huru.
Cheka ameachiwa huru baada ya kushinda rufaa yake aliyokata kupinga kifungo cha miaka mitatu gerezani.
Tayari Cheka alianza kutumikia...
ARSENE WENGER NA VIVULI VYA KINA PIRES,HENRY,LJUMBERG,EDU.
SABABU TANO KWANINI ARSENAL ANAWEZA KUPITA MBELE YA MONACO NA SABABU TANO KWANINI MONACO ANAWEZA KUPITA MBELE YA ARSENAL.
Mwaka 2014...
Wadau, hivi karibuni nimeona ongezeko la Channel kwenye dikoda yangu ya Azamtv, nimeona Channel ya Liverpool FC na Real Madrid. Ila sio active kwa sasa, kuna yeyote ana mwanga zitaanza kuonyesha...
Katika muendelezo wa ligi ya Vodacom Tanzania Bara leo tar. 16.03.2015, kutakuwa na mpambano kati ya Azam fc ya Dar es salaam dhidi ya Ndanda Kuchele ya Mkoani Mtwara majira ya saa 16:30 katika...
Habari wadau.Sikutegemea kuona hii kitu katika gazeti michezo kama Bingwa.Mmetia aibu sana.Habari hiyo hiyo mme copy na ku paste kwenye title tofauti lijae muuze.Shiiit.
As you would expect, Arsene Wenger has tried to boost his team's confidence ahead of tomorrow night's game with Monaco by talking up the possibility of an unlikely comeback.
As we know, it's rare...
Hivi hawa mikia fc huwa wanawatoa Wapi viongozi wao?
Jana nilikua nacheki star TV habari za michezo,katibu wao somebody Ally Ally alienda pale makao makuu ya klabu kubwa zaidi hapa east Africa...
Nairobi, Kenya
March 16, 2015
CAF: Gor Mahia feeling financial crunch
Gor Mahia are already feeling the financial pinch of taking part in the Champions league.
The team, according to Deputy...
Moyo Hautaki Kabisa Mimi Leo Kuishangilia Timu Ya Yanga FC Katika Mtanange Wao Wa Jioni Dhidi Ya Platinumz FC Ya Nchini Zimbabwe. Naombeni Mniambie Nifanyeje? Nina Hamu Mno Leo Kuondoa Unazi Na...
Leo tena uwanja wa Taifa kutakuwa na mpambano wa kukatana shoka kati ya Simba SC vs Mtibwa suger.
Mpambano huo utakuwa muhimu sana kwa kila timu, kwani timu zote zitakuwa zinasaka point 3 ili...
Kilabu ya Manchester United imeanzisha mazungumzo na ajenti wa Christiano Ronaldo kwa lengo la kumrudisha Old Trafford.
Siku za usoni za Ronaldo zimejaa uvumi huku kukiwa na madai kwamba mchezaji...
taarifa ambayo nimepata za ndani zinasema kocha huyo anahusda kwa baadhi wa wachezaji hasa mchezaji akiwa na kimwana mzuri anatia wifu na kumtaka akikataa anamchukia muhusika.
nawatahadharisha...
Hat-rick ya Messi dhidi ya Rayo Vallecano ilivunja rekodi ya mmoja wa wanasoka bora duniani, Pele iliyokaa kwa zaidi ya miaka 50.Mabao hayo yamemfanya Messi kuipita rekodi ya ufungaji mabao ya...
Rich Mavoko is one of the few Tanzanian celebrities who have warmed their way into Kenyan's hearts with his song "Roho Yangu" becoming a popular tune on the air waves.
After successfully...
TAYARI kimenuka!
Yanga jana wameliandikia barua Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupinga ushindi wa Simba walioupata dhidi yao Jumapili iliyopita wakitaka wanyang'anywe pointi tatu na kama TFF...
katika mashabiki wa mpira wa miguu wapumbavu nchi hii ni mashabiki wa yanga.
wao kazi yao kuwatuhumu wachezaji wazuri wa timu yao mara hawajui kucheza,wanahujumu timu mnalaana ya wapi wacheni...
Leo tena wamebadilisha ratiba ya mechi ya Azam vs Ndanda iliyobidi ipigwe hapo kesho tar 14.03.2015 Jumamosi badala yake mchezo huo umepelekwa mbele hadi tar. 16.03.2015 Jumatatu.
Viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.