Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Picha za ziada na chanzo hapo chini. Hongera Jamal Malinzi HARAKATINEWS BLOG: Viwanja vya Golf kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi Wilayani Missenyi
1 Reactions
131 Replies
22K Views
Wakuu habar za leo! Naomba kwa anaefahamu aeleze sababu za Kanjibai kukimbia Nigeria wenzetu wanaigeria walitumia njia gani? Naomba tufahamishane wakuu!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
WRONG llllllllllllllllllllllllllllllllllllll
0 Reactions
4 Replies
784 Views
Ni katika mashindano ya FA Cup ambapo Manchester United wanawakaribisha Arsenal FS katika uwanja wao wa Old Trafford. . Weka utabiri wako hapaa
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Kuna siku kipindi cha EA Sports kinachorushwa na EATV, walimtembelea Mzee Akilimali nyumbani kwake. Watangazaji walipofika wakakuta katika sitting room ya Mzee Akilimali kuna Sofa za rangi...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Mechi no.117 iliyowakutanisha Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa, imeingiza jumla ya sh. milioni 436,756,000 kutokana na idadi ya watazamaji 49,758 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
makocha wa yanga wameshindwa kuwapa nidhamu kwa wachezaji wao. kocha hao hawajui kabisa kuwapa nidhamu kwa maana hiyo sio makocha bora watimuliwepamoja na meneja hawafai
0 Reactions
5 Replies
1K Views
For losing a betting stake worth U.shs 500,000 when Monaco overcame Arsenal football club 3-1 in a European champions league fixture, Deus Ruhinda a resident of Kakiika in Mbarara district did the...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
http://thesheet.ng/wp-content/uploads/2015/02/stephen_keshi-520x245.jpg Kocha ambaye Yuko nje ya mkataba na timu ya taifa ya Nigeria, Stephen Keshi anaorodheshwa na club ya Azam ili kuchukua...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
CISSE NA EVANS WAFUNGIWA KUCHEZA Chama cha soka cha England FA kimethibitisha kuwa mshambuliaji wa Newcastle Papiss Cisse na beki wa Manchester United Jonny Evans wamepewa adhabu ya kufungiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa yeyote ajuaye mahala kilipo kituo cha premier betting hapa mwanza.pls msaada
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwakuwa Yanga ni club yenye wanachama na mashabiki mbalimbali bila kujali itikadi zao za vyama vya siasa Je, Kuna madhara gani kama club ya Yanga ikibadili rangi ya jezi yake ili isifanane na...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Leo sijamuona Mzee Akilimali kwenye kile kijiwe cha kahawa wala sijamuona manji akila bata kama kawaida yake na wala sijamsikia Jerry Muro akiropoka kwenye redio. Ila nimemuona Plujim na Mkwasa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
Nina uhakika Yanga lazima itashinda mechi yake dhidi ya Simba (a.k.a Mbumbumbu FC). Endapo tutafungwa, mods naomba mnipAtie ban ya wiki moja kwa kosa la kuwadaanganya Watanzania na upotoshaji...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Mbunge wa Singida na Mfanyabiashara mkubwa mwenye umri mdogo mwenye mapenz kwa Simba mohamed Dewj amerud kuja kuifadhiri team yake kipenz Simba Sports Club maarufu kama Mnyama yenye maskani pale...
4 Reactions
18 Replies
6K Views
Duru zinadai kuwa karatasi nyeupe iliyokuwa na maandishi ya Kiarabu imefukuliwa katika eneo la kuchezea (pitch) ya Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Karatasi hiyo iliibuliwa jana asubuhi na watu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Closed
Dar derby: Who will triumph, Yanga or Simba? On Sunday afternoon Dar will come to a standstill when sworn enemies Simba and Young Africans cross swords in the latest instalment of the Dar Derby...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
habar wana michezo mi napenda sana kujifunza na kujua basketball sasa naomba uliza ni vifaa gani muhim niwe navyoo na pia huwa naskia lay up shoot three thrg sasa nauliza ni vitu gani muhim vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea mwishoni mwa wiki kwa viwanja sita kutimua vumbi, michezo mitatu ikifanyika siku ya jumamosi na michezo mingine mitatu kufanyika siku ya Jumapili. Katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom