Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nipo naangalia fainali ya capital one cup kati ya Chelsea na Tottenham na mvua imeanza kunyesha kipindi cha pili huku mashabiki wakiloana.. Naona manager wa Tottenham anahangaika kujifuta maji ya...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
dah hii tatizo nini mbona msimu timu yetu simba mnatia aibu na pressure za bure mashabiki wenu. hivi tatizo ni kwa viongoz au wachezaji au ni sisi mashabiki ndiyo kikwazo kwa simba kutokupata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na Azam FC jana kushindwa kuhimili fitna za ugenini,bado naamini Simba na Yanga ndizo timu pekee katika michuano hiyo. Simba na Yanga wameshafanyiwa hujuma ugenini hadi wamekomaa kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kocha wa timu ya Mwadui FC Jamhuri kiwhelu ‘Julio' ametua timu ya Coastal Union hadi mwisho wa msimu huu. Kocha huyo mwenye maneno mengi, ameiwezesha timu ya Mwadui kupanda daraja kushiriki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama yanga imeingia botswana ikiongoza bao 2 ,alafu wanaongeza bao moja ugenini then wanapanic kiasi kile baada ya bdf kusawazisha,wanashindwa kuweka mpira chini na kurilax,wanabutua ka vile...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
A Tanzanian artiste has been accused of shoplifting from one the supermarkets in the city. Yassin Ali Wanga, 37, allegedly stole six Aliya Feston plates valued at Sh2,100 from a popular...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Baada ya furaha ya kufuzu raundi nyingine kwa Yanga, leo tuwe pamoja kwa wawakilishi wengine wa Tanzania, Azam FC. Tukumbuke mechi ya kwanza iliyochezwa Dar es Salaam, Azam ilishinda goli mbili...
4 Reactions
133 Replies
21K Views
Wadau wote wa soka, tukutane hapa kupeana updates, hoja, majadiliano na mawazo mbalimbali yanayolenga mechi hii ya Leo. Muda_ [10:00 jioni.] Uwanja_[ Taifa Dar es Salaam] ====================...
0 Reactions
228 Replies
18K Views
Azam imetolewa rasmi kwenye michuano ya Klabu bingwa Africa baada ya kufungwa goli 3-0 na El Merreikh ya Sudani mjini Khartoum katika mchezo Wa marudiano hivyo Azam fc imetolewa kwa jumla ya goli...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Simba SC inazidi kupotea midomoni mwa washabiki na wadau wa soka hapa nchini, Umefika wakati wa Aveva na benchi lake wajitafakari na kuchukua hatua stahiki! ================= Simba, Nguvu Moja!
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo katika mechi YA Ligi Kuu Kati YA Stand United chama la wana! Na Kagera Sugar limeshindwa kumalizka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha katika Uwanja wa CCM Kambarage hadi Mpira unasimama Stand...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kushuka kwa kasi kwa kiwango cha uchezaji wa Mbeya City kumeshtua wengi. Lakini timu hii hii ilipokuwa chini ya Manispaa ya Mbeya mwaka jana ilifanya vizuri sana. Ikajichanganya na kuingia...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Kutokana na kiwango kizuri cha yanga kwa sasa leo ni ushindi tu na kwa ubovu wa simba ni kupigwa tu na stend united
4 Reactions
418 Replies
37K Views
Watu wazima na akili zao mishipa ya shingo inawatoka kwa kushabikia mpira wa Tanzania wa butua butua, Mpira unaopambwa na vyombo vya habari ili watu wanunue.Supastaa mtanzania akienda timu kubwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The Kilimanjaro Marathon (42.2km), Half Marathon (21.1km) and Fun Run (5km) is a fully registered IAAF race, the marathon has official marshaling, time-keeping and refreshment points at regular...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunasubiria kuangalia mechi ya yanga na bdf x1 lakini kipindi kilishaanza lakin bado hawajajijunga
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Viongozi wa Yanga wanaripotiwa kulalamika eti wachezaji wao Niyonzima (Rwanda), Tambwe (Mrundi) na Sherman (Mliberia) "wamezuiwa" kuingiwa Botswana kwa kile wanachodai ni "siasa za mpira". Huu ni...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imethibitisha kushiriki michuano ya kombe la COSAFA nchini Afrika Kusini kufuatia mwaliko wa Baraza la vyama vya soka Kusini mwa Afrika (COSAFA). Michuano...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Matokeo : BDF XI 2 - Yanga SC 1 ============ Yanga imesonga mbele kwa jumla ya magoli 3-2 ============ Mechi za kombe la shirikisho barani...
0 Reactions
200 Replies
23K Views
Kesho jumamosi kuna mechi mbalimbali za vpl Tanzania bara. Lakini kilichonisukuma kuandika haya ni taarifa niliyopenyezewa na mtu wangu wa karibu kutoka Shinyanga kutokana na maneno yaliyozagaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom