Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Kuelekea pambano la watani Wa jadi kati ya Simba na Yanga hii ndiyo tofauti ya umri Wa wachezaji Simba: 1.Manyika Peter age 19 2.Hassan Kessy age 20 3.Shabalala age 19 4.Hassan Isihaka 21...
1 Reactions
32 Replies
21K Views
Hivi kanuni yaligi kuu inapobadilishwa si inapaswa vilabu vyote kutaarifiwa kwa barua? Kama hamkufanya hivyo basi ligi inaendeshwa kienyeji! Alafu nauliza tena huu utatatibu wa viongozi wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Akizungumza huku akinifurahisha na akitufurahisha wana Simba wote na hata wale wana Yanga wenye msimamo mkali mjumbe wa kamati ya utendaji wa Simba said tully wakati akihojiwa na kipindi pendwa...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
1. Ushindi wa goli nyingi: Simba Sc 6 Yanga Sc 0 Hii ilikuwa 19/07/1977 ambapo Simba Sc iliwanyanyasa sana ndala kwa kuwachapa goli 6 kavu. Mwaka 2012 hii rekodi ilikuwa inavunjwa, ila huruma ya...
2 Reactions
58 Replies
13K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa siku ya jumapili kati ya Simba SC na Young African utakaofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwamuzi wa kimataifa wa Tanzania mwenye beji ya FIFA, Israel Mjuni Nkongo amechaguliwa kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CL) kati ya wenyeji Zesco FC ya Zambia dhidi ya AS Kaloum ya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ni baada ya kumchezesha Ibrahim Hajibu mwenye njano 5
0 Reactions
109 Replies
15K Views
Mwenye Minjingu phosphate, mwenye mashine ta umwagiliaji, mwenye mifugo nyumbani kwake asafishe banda amletee kijana ili atimize dhamira yake.
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Kwa navyofahamu Viongozi wa vilabu hivi viwili wanachaguliwa na wanachama. Sasa mwenyekiti ana sera zake nzuri tu kwa klabu na ana watu wake waliomchagua, Makamu wake vivyo hivyo, wajumbe nao wana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo tarehe 4 march kulikwa na mechi kati ya yanga vs jkt ruvu lakini tff kupitia bodi ya ligi kuu imeufuta mchezo huo na kuupeleka mbele mpaka tarehe 11 yaani jumatano ijayo, tarehe 8 yanga...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Sijawahi kuona uzi kuhusu watu wanaopenda michezo na kufanya mazoezi. Hebu naomba tukutane hapa tukipeana mbinu mbalimbali za michezo, ikiwemo 1: Trick za ku push mwili kuvuka limit yake. 2: Nini...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hawa wanasoka wetu wanalipwaje, hasa wa Simba, Yanga na Azam. Haya mambo Ulaya huwa wazi.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Uongozi wa Azam FC umetangaza rasmi kuachana na kocha wake Joseph Omog baada ya kuwa nae kwa kipindi cha miezi 14. Mwalimu huyo wa zamani wa Leopards ya Kongo anaondoka ikiwa ni siku mbili baada...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Tuorodheshe vituko vyote vilivyo fanywa na tff tangu Jamal Malinzi awe rais pale tff..Mimi naanza na hiki;.............. Simba kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano na tff ya Malinzi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
timu kongwe hapa nchini simba spot club haijapata viongozi wazuri mda mrefu waliopo sasa waongowaongo mataperi kanuni za ligi wanavuruga yaani ni shida bin balaa. tuombe mungu isije hadhi ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawauliza TFF hii mechi ratiba imekosewa au lengo kuihujumu Yanga. Jumatano Yanga kucheza na JKT kisha Jumapili acheze na Simba mwisho wa wiki kucheza zimbabwe hii inaashiria nini ni bora mechi...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Katika Hali Isiyo Ya Kawaida Na Ambayo Wengi Hamkuijua Ni Kwamba Jana Katika Ule Mkutano Wa Simba Rais Wa Simba Alifanyiwa Mtego Wa KIMAFIA Na Siyo Wa Kiungwana Baada Ya Kuingizwa Mtegoni Na...
2 Reactions
69 Replies
8K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 32TAREHE 03 MACHI 2015UAMUZI KAMATI YA MASHINDANO Timu za Ujenzi Rukwa na Volcano FC ya Morogoro zimeshushwa madaraja mawili hadi ligi za wilaya baada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ki uhakisi Sijui ni mm Binafsi au vip . ,kwakweli sivutiwi kabisaa na mwanamke anayeshabikia Mpira wa miguu . Mbaya zaidi nikute anabishana kabisa na wanaume,au nimuone anachambua mechi ...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Mchezaji nyota ambaye pia ni kiungo wa kati wa Manchester United Angel Di Maria amesema kuwa alifanya makosa kujiunga na Kilabu ya Manchester United msimu uliopita. Raia huyo wa Argentina...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom