Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya kuona juzi na leo timu za uingereza zikitolewa na kupigwa mabao kwa timu kubwa Arsenal na Man city tena nyumbani ligi ya uingereza ni Jina na nguvu ya matangazo ndo inayoibeba ila kiwango...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi juzi nimeona Kibadeni alipokuwa akihojiwa akijisifia pale Simba walipowafunga Yanga 6-0, na Kibadeni kufunga mabao matatu (hat trick) katika mechi hiyo. Inasemaekana hakuna mchezaji...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
inasikitisha timu ya mtibwa wachezaji wanalia njaa mshahara hawajapata miezi mitatu wanaishi kwa viposho tu kuna hali ngumu. ndio mpira wa bongo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bodi ya FIFA inayosimamia sheria za mpira wa miguu duniani inakutana kwa siku mbili kuanzia Ijumaa ili kufanya marekebisho muhimu ya sheria. Bodi hiyo inakutana ikiwa na ajenda kuu mbili, ya...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
"Al Merriekh have decided NOT to broadcast their CAF Champions League game against Azamfc next Saturday.. Weird" Maelezo: Timu ya Al Merreikh imekataa mechi yao ya jmosi vs Azam isioneshwe live...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mashabiki wa Premier League kwa muda mrefu wamekuwa wakijisifu kwamba ligi yao ni bora kutokana na vigezo kwamba ni ligi yenye ushindani mkubwa na ni ligi yenye followers wengi duniani (hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiukweli messi akiendelea na jitihad binafsi anaweza kuchukua tuzo ya tano mwakani, mpinzania wake ronaldo kauanza mwaka huu vibaya mno .
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Baada ya klabu ya Simba kuwa na mwenendo usiovutia kwa karibu msimu wa tatu mfululizo, yametolewa maoni mbalimbali na sababu lukuki kuhusiana na nini hasa kiini cha kuvurunda huku. Mojawapo kati...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Jua wajua kama hujui ngoja nikwambie Simba walipiga gemu kahama na time yadaraja LA pill kupata fedha ya kujikimu!!kama ni siri hii ni kweli hali simba kifedha so shwari tena ! Baadhi ya wana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Known as Papilo and outstanding for his iconic slow drag on the ball which proved detrimental to opponents, Kanu Nwankwo was feared on the pitch, despite his sluggishness. In a poll by fans of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Arsene Wenger has confirmed Thierry Henry has taken up a coaching role at Arsenal within the club's academy. Wenger revealed late last year that the club's all-time top scorer could take up a...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Floyd Mayweather's fight with Manny Pacquiao 'is off' Pacquiao and Mayweather were set to meet on 13 March Floyd Mayweather Jr's planned bout with Manny Pacquiao is off because of a...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwa swal kuna sababu yoyote ya mashabik kulalamika juu ya wachezaj wenye majna makubwa katka medani ya soka kukosa penalt au n ushabik usio na tija
0 Reactions
0 Replies
751 Views
yani nanusa harufu ya rushwa wazi wazi, japo sina ushahidi. Babu Sepp Blater wala hana haya atakuwa kavuta milions kadhaa, wajumbe wa bodi ya FIFA nao watakuwa wanakenua tu akaunti zao zitakuwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
15mins to go
0 Reactions
27 Replies
2K Views
DAVID BURHAN ASIMAMISHWA NA KUONDOLEWA KIKOSINI. Halmashauri ya jiji la Mbeya ambayo ndio mmiliki wa timu ya Mbeya City football Club ilikutana na bodi ya Michezo ya jiji inayosimamia uendeshaji...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamani ndondo huku, Kiwanja kimejaa watu sana wengine mpaka kwenye ukuta wa waya juu. Ila mpira huu hakuna aliyevaa Viatu zaid ya soksi. Cheki picture hapo chini
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika michezo 300 ya la liga ana magoli 269 ndio top scorrer wa muda wote katika hiyo michezo ana ongoza kwa kutoa pasi za magoli kwa muda wote tangu dunia iumbwe huko Hispania mipasi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kuna watu wanaingia kwa kuvamia katika uongozi wa soka nchini katika vilabu vyetu lakini hawana upeo wala hawataki kuuliza wakongwe mfano halisi ni hawa viongozi wa Simba SC...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mmoja wa timu ya Simba aliyefahamika kwa jina la Rajabu Jota alikamatwa na mashabiki wa Stand United akimwaga dawa katika mlango wa kutokea wachezaji wa timu ya Stand United. Kitendo hicho...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom