Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tuanze kuigusa SIMBA SPORTS CLUB ambayo ilipitia historia mbaya iliandikwa mwaka 1987, na mwaka 1988 pia mwaka 1989 kwani katika miaka hii mitatu Simba iliponea chupuchupu kuteremka Daraja kutoka...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Simba umeshindwa kesi ya Awesu. Hairuhusiwi team kuongea na mchezaji kabla miezi 6 kwenye mkataba wake lakini Simba walifanya hivo Simba walimrubuni Awesu na kumtorosha Awesu. Simba walimpeleka...
12 Reactions
39 Replies
1K Views
Unajigamba wewe ni shabiki kindakindaki wa soka ila nikikuuliza origin ya ushangiliaji huu hata haujui. Kongore kwa Valentino Mashaka na Che Malone kwa kurudisha ushangiliaji huu classic...
5 Reactions
74 Replies
2K Views
Mna timu nzuri kuliko timu yoyote hapa Afrika, mna kocha mzuri na mwenye sifa, mna management nzuri, mna utajiri wa kutosha, mna uwanja mzuri, kusema kweli mna kila mtu. Mnaweza kufukuza kocha...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwanariadha Alphonce Simbu alipotua Nchini akitokea Ufaransa alihojiwa na hii ni sehemu ya maelezo yake kuhusu sababu za yeye kutofanya vizuri na kushinda Medali kwenye Michezo ya Olimpiki 2024...
20 Reactions
57 Replies
2K Views
Simba na Al Ahly zimetolewa kwenye mashindano ya African Football League (AFL) bila kushinda mechi hata moja. Baada ya Simba kushindwa kuifunga Al Ahly hata baada ya kutangulia kuifunga, mchambuzi...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Jana nimeona kwenye kombe la xecafa singida Black stars wamevaa jezi zenye nembo ya GSM, huyo GSM ndio mdhamini wa Yangq, lakini timu kama Coastal Union, Namungo zina udhamini kama huo. Kwa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimemskia mwanariadha wetu Felix Simbu Clouds Fm akisema alikuwa haijui njia vizuri alikuwa anakimbia tu kuwafuata wengine na akafanikiwa kumaliza nafasi ya 17 kwenye Marathon. Huyu jamaa siyo...
1 Reactions
3 Replies
249 Views
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc...
25 Reactions
127 Replies
12K Views
Timu zinazoshiriki kutafuta nafasi kushiriki ya Michuano ya Mabingwa Ya Afrika Kwa Wanawake Kuwakilisha nchi wanachama wa CECAFA ni : Commercial Bank of Ethiopia (Ethiopia) Kenya Police...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Match Day Vital'O FC vs Yanga SC KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. #Daimambelenyumamwiko# Updates... Mpira umeanza Timu bado zinasomana. Dk 05 Dubeeeeeeeee anaipàtia Yanga goal lakuongoza...
25 Reactions
609 Replies
20K Views
Wallah wabillah hii ni kufru.. amekufuru huyu. Huu ni wivu tu. GSM inachukiwa jinsi inavyopiga pesa kwa sasa. Inachukiwa sana. Iacheni ndo wakati wake huu. Yanga ni team ya Taifa. Nyie mikia...
1 Reactions
13 Replies
882 Views
These five players stand out as exceptional contributors to the team: 1. Onana : The Maestro of Footwork - Onana's nimble footwork on the field is a sight to behold. His dribbling skills...
8 Reactions
64 Replies
2K Views
1.Awesu Awesu fundi wa mpira 2.Awesu Awesu Fundi wa mpira 3.Awesu Awesu Fundi wa mpira 4.Awesu Awesu fundi wa mpira 5.Jeans Charles Ahoua anamfanya Mukwala aonekane nyoka wa kibisa, nafasi yake...
17 Reactions
47 Replies
3K Views
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amesema Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe wata upeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA...
1 Reactions
5 Replies
506 Views
Azam wana team nzuri, wamemsajili vizuri sana, nilidhani watafuzu hizi hatua ila kila nikiangalia naona anaangukia pua Azam hatua ya awali wamepangwa na mbambe APR ya Rwanda, hii ni team ngumu...
16 Reactions
83 Replies
4K Views
S500 TV baada ya kuhangaikia sana kupata maudhui yanayovutia kituo chake sasa hivi imepata bingo kwa Mzee magoma. Ni kituo pekee kinachohangaika sana na Magoma kila siku siku hizi Wanapata rizki...
3 Reactions
11 Replies
866 Views
Sheria mpya hizi hapa ,wale Man U fans na Chelsea lia lia mzielewe . 🔜 New rules are set to be introduced for the 2024/25 Premier League campaign: ➡️ Semi-automated offsides will be introduced...
1 Reactions
6 Replies
620 Views
"Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe tunataka kuupeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA. Tutatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja...
3 Reactions
7 Replies
641 Views
Aziz Ki aliposajiliwa Yanga alikuwa akifanya mambo ya hovyo kabisa uwanjani hadi wachambuzi wakawa wanaeleza hasara za kiuhasibu kwa kumsajili kiungo huyo hatari kwa sasa hapa nchini, wengi...
3 Reactions
12 Replies
632 Views
Back
Top Bottom