Simba na Azam ni marafiki wakubwa, wanapeana hadi wachezaji kilaini kabisa. Lakini baada ya goli 5-1 dhidi ya Yanga (sheikh) Simba ikamsukumia zigo lote la lawama Manula. Manula alitaka kutimkia...
Arsene Bucuti, Msemaji wa Timu ya Mpira kutoka Burundi ya Vital O, ameamua kujiuzulu. Ni baada ya Timu yake kufungwa na Timu kutoka Tanzania ya Young Africans.
Amesema ametimiza ahadi yake...
Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.
Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa Dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana Yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba...
Michezo ya Olimpiki inasimamiwa na kuratibiwa na kamati ya olimpiki duniani (IOC) kwa ajili ya kusaidia michezo mbalimbali kwenye nchi nyingi Duniani.
Kuna michezo ya kuruka au miruko mbalimbali...
Baada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa...
Mwanariadha wa zamani na kocha wa mchezo huo, Suleiman Nyambui amesema hakufurahishwa na kitendo cha Uongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutojitokeza kuwapokea Wanariadha wa Tanzania...
Nimekuwa nikifuatilia huu mfumo unaochezwa na Simba sasa wa kuwategemea mabeki wa pembeni waje kutengeneza nafasi kwenye kufanikisha mashambulizi pale na kushuhudia unavyotufelisha kwa sasa...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa naMichezo Dkt. Suleiman Selela atakabidhi bendera na kuiaga timu ya Taifa itakayoshirikikatika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto inayoanzasiku...
..𝗞𝗔𝗥𝗜𝗕𝗨 𝗕𝗢𝗡𝗚𝗢 𝗨𝗝𝗜𝗢𝗡𝗘𝗘
Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024.
Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union...
Hakuna kitu kilichowahi kuniumiza moyo kama nilipomuona mnyamwezi mwanzangu Ismal Aden Rage akilia kama mtoto baada ya KUTENDWA na APR.
Kwa kweli huu ni mkasa ambao wana simba wanabidi waujue na...
Kuna haka kautamaduni tunako waswahili ka kuwachukulia poa sana wachezaji wazawa. Inafikia wakati wanalipwa mishahara duni, wakitaka kuuzwa wanauzwa kwa pesa ndogo sana kiasi kwamba hata haitajwi...
Olympic ys mwaka huu ilikuwa na michezo zaidi ya 30.
Hadi kutembea ulikuwepo
Niliwahi kutembea kwa miguu toka Kibamba mpaka Masaki studio za Master Jay kurekodi single yangu,ilikuwa mwanzoni mwa...
Klabu ya Yanga leo itatupa karata yake ya kwanza katika michuano ya Caf Champions ligi dhidi ya Vital'O ya Burudi mchezo ambao utachezwa katika dimba la Azam Complex Chamazi saa 10 kamili jioni...
Ushabiki wa timu za mpira umekuwa na historia ya muda mrefu hususani kwa timu hizi mbili za kariakoo.
Kwa siku za hivi karibini kumejitokeza utamaduni mpya wa watu kuhamia timu wanayoona inafanya...
Ni mjinga pekee ambae anashindwa kujua ubora wa Yanga kipindi hiki. Kuna watu wanaodhani kuwa GSM kudhamini timu 6 kwenye ligi ni vibaya, kutainufaisha Yanga.
Huku ni kupenda timu yako bila...
Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.