Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Msemaji wa Timu ya Vital’O ya Burundi, Arsene Bucuti @arsene_bucuti amesema iwapo Yanga itaifunga Vital’O kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa atajiuzulu kuwa msemaji wa timu hiyo. Bucuti...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
[emoji2788] “Mashabiki wameona kazi yangu kuwa ni nzuri, ila mimi naujua ubora wangu hivyo nikipata mechi kama tano nitakuwa kwenye uwezo mkubwa zaidi ya huu wa sasa. Kitu kinachonifanya nijitume...
2 Reactions
2 Replies
352 Views
Tayari mapicha picha yameanza huko mitaa ya ubwelani. Muunganiko hauonekani huku baadhi ya mambwela wake waki a mini ubwela utachanganyia mwendo katikati ya mashindano ya ligi. Wakati wakiwa...
4 Reactions
19 Replies
726 Views
... 🚨 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗜𝗥𝗠𝗘𝗗 Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu. Mazungumzo yameenda vizuri. Simba SC wanataka waliwahi dirisha la usajili ambalo...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Mamlaka zimeondoa sanamu za wanariadha watatu wa Olimpiki kufuatia malalamiko ya wananchi kuwa ni dhihaka, 15 Agosti 2024. Sanamu hizo, ziliwakilisha wanariadha maarufu Faith Kipyegon na Eliud...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kila kitabu na zama zake , Haji Manara alikua moto sana kipindi anashindana na Murro wakati Haji akiwa Simba sc na Muro akiwa msemaji wa Yanga hakika nilishuhudia na kusikia maneno yenye mbwembwe...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Kiukweli nchi Jirani wametisha sana huwezi amini kama Wana mgogoro mkubwa wa kisiasa nchini mwao Kwako MwanaFA 😂😂😂 Mlale Unono
7 Reactions
47 Replies
1K Views
Hawa wachezaji ndugu viongozi wa Simba wametoka kwenye vilabu vyao wakiwa na mafanikio makubwa sana, mimi hainingii akilini leo striker Steven Mukwala aonekane hana meno wakati alikuwa mfungaji...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga. Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya...
12 Reactions
86 Replies
3K Views
Agosti 16, 2024 Pamba Jiji vs Prisons 10:00 Jioni Agosti 17, 2024 Mashujaa FC vs Dodoma Jiji 10:00 Jioni Namungo FC vs Fountain Gate 1:00 Usiku Agosti 18, 2024 Kengold FC vs Singida BS 8:00...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Katika jezi za batiki za utopolo zile nyeusi kuna rangi nyeupeeee, nyeupe ni rangi ya simba. Yanga haijawahi na haina utamaduni wa kuwa na rangi nyekundu wala nyeupe ila hizi batiki za msimu huu...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki...
3 Reactions
9 Replies
276 Views
Ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC premier league kuanza kutimua Vumbi hii leo Agosti 16 2024 ambapo mchezo wa kwanza kwa msimu wa 2024/25 unapigwa leo kati Ya Pamba Jiji Fc 🆚️ Tanzania Prisons
3 Reactions
11 Replies
650 Views
Niliongea na tajiri Mo akanisikiliza. Tajiri alikuwa kachafukwa. Aliona dharau zimezidi mtaani. Kaenda Uarabuni kabeba chuma kingine. Simba misimu hii miwili imechukua wachezaji wawili ACTIVE...
5 Reactions
8 Replies
559 Views
Msimu wa 2024/25 katika Ligi Kuu ya England “Premier League” unatarajiwa kuanza leo Agosti 16, 2024 ambapo utaendelea hadi Mei 25, 2025, bingwa mtetezi akiwa ni Manchester City. Timu ya...
2 Reactions
2 Replies
557 Views
KMC wameshinda kesi dhidi ya AWESU AWESU aliyetambulishwa na Simba sC Tanzania wiki chache zilizopita. Mimi Yanga damu ila Simba wanafanyiwa kisasi.
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Katika mafanikio ya mchezaji, kuna kuujua mpira ila pia kuna bahati. Bahati inaweza kukufanya upendwe hata kama mchango wako kwenye timu ni wa kawaida, bahati inaweza kukufanya upendwe na kila...
6 Reactions
11 Replies
643 Views
Michezo ya mwaka 2024 ya Olimpiki imefungwa wiki iliyopita huko Paris, Ufaransa. Tovuti ya maoni ya kisiasa ya Australia “Lulu na Misisimko” hivi majuzi imetoa makala ya uchambuzi ikisema wakati...
1 Reactions
4 Replies
475 Views
Back
Top Bottom