Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli...
5 Reactions
98 Replies
2K Views
Kiuhalisia kwa game (mechi) ya jana ilikuwa ngumu pande zote. Nguvu ya ushindani na kasi ya mikimbio ilikuwa sawa kwa kiasi kikubwa wachezaji wote walicheza katika viwango. Hii inanipa picha...
0 Reactions
2 Replies
360 Views
Kuweka mambo sawa ni kwamba Simba ndiyo waanzilishi wa siku ya club yao (Simba day). Yanga wakaja na Wiki ya Mwananchi ambayo inajumuisha matukio mbalimbali kwa muda wa wiki nzima nakuhitimishwa...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Mashabiki wa Arsenal nchini Kenya leo wamefanya siku yao ya kitaifa ya maombi kuombea mafanikio ya timu hiyo. Wafuasi hao hufanya maombi kila mwaka ambayo imekuwa desturi, na kwa kawaida...
1 Reactions
4 Replies
411 Views
Naaam!! kila ligi msimu inapoanza na kuisha lazima kuwe na malalamiko ya kuonewa haswa kwa hizi timu za kariakoo (Simba na Yanga) ni muda sasa wa Tff na Bodi ya ligi kushughulika na hizi lawama au...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Simba SC wamethibitisha kumsajili Mshambuliaji Leonel Ateba kutoka USM Alger kwa mkataba wa miaka miwili
1 Reactions
2 Replies
431 Views
Hivi karibun hii timu ilishiriki kujinasua kubaki NBC Ghafla mkuu wa mkoa akahaidi mil 50 Wengi sana wakashangaa kwanini hawakupatiwa wakati wakiwa kwenye ligi wakijipambania Wamejitahidi...
1 Reactions
1 Replies
212 Views
Ubingwa 💯 Hapa tunahaha kupata un beaten za maana
1 Reactions
0 Replies
263 Views
Biashara ya mpira wa miguu inalipa sana. Unajazwa upepo na wewe mjinga unafula na kusema tumeujaza uwanja. Wewe hujaujaza uwanja bali wenye akili wamekujaza uwanjani kisha wanaondoka na...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Tshirt hii alivaa GSM siku ya mwananchi. Ikawa gumzo, mtaani wakasema ni bei. Jamaa yangu kaenda kuinunua kauziwa 85,000 na risiti halali ya EFD kapewa. Mambo mazuri yanahitaji pesa!
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Shikamooo engn hersi poppte uliipoo
1 Reactions
3 Replies
263 Views
WACHEZAJI WASAIDIWE KUCHEZA TIMU ZA NDOTO ZAO Dube kacheza Azam misimu 4 bila kombe kacheza Yanga mechi 5 tu makombe mawili, medali mbili.. KAFUNGA magoli 3
3 Reactions
4 Replies
304 Views
Here are the predictions for the Ligi Kuu Bara matches: Pamba Jiji FC 2 - 1 Tanzania Prisons FC (Friday, 15.08.2024) Mashujaa FC 1-2 Dodoma Jiji FC (Saturday, 16.08.2024) Namungo FC 2-0...
0 Reactions
5 Replies
545 Views
Wachezaji wa Nje Waliojihakikishia Namba CHADRACK BOKA AZIZ KI CHAMA PACOME ZOUZOUA DUKE ABUYA YAO KOUASSI PRINCE DUBE BALEKE DIARRA AUCHO MAX Wachezaji wa Tanzania Waliojihakikishia Namba...
4 Reactions
13 Replies
819 Views
Hofu yangu bado ipo mpaka nikoona saa sita imefika Suala la Feisal kwenda Simba limentesa sanaa ngoja tuone Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
3 Reactions
10 Replies
846 Views
Badop najiuliza sana holiswali wapendwa. Yule kipa aliekuwa akidaka mishale ya yanga Zanzibar ndio huyuhuyu kapigwa nne. Ama walimchezesha mdogo wake.
1 Reactions
3 Replies
321 Views
Hii ni kutokana na kutoelewana na Meneja wa Chama Mkataba unamtaka aanze kila mechi kama atakuwa fit .
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba niwaambie mapema kabla ya mashindano na ligi kuanza ili msije kusema sikusema. Ile simba ya Robertinho ilikuwa ngumu sana sema wana simba wengi huwa hamridhiki na juhudi za makocha wenye...
5 Reactions
20 Replies
949 Views
Viongozi simba sports club VUNJA mkataba wa KAPOMBE na FREDY Michael, VIWANGO gyao ni vidogo kwa Sasa. KAPOMBE ameichezea Simba kwa muda mrefu Sasa, kinachotakiwa ni kumpa mkono wa kwaheri Ili...
1 Reactions
7 Replies
434 Views
Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC. Najua mtamalizana nao hawa Leo...
10 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom