“Simba kilichobadilika ni hizi jezi. Simba hii ya msimu huu ni mbovu kuliko ile iliyopita. Simba iliyopita ilikuwa na wachezaji ambao mnasema wameshazeeka lakini wana uzoefu ambayo walikuwa...
Mwanamichezo mstaafu na mchambuzi wa michezo Amri Kiemba ameandika maoni ambayo yamenifanya niwaze na kukaa chini kutafakari juu ya kauli na maneno ya msemaji ambayo kila siku yanazidi kushangaza...
Hakuna timu nyingine utamkuta kocha ana furaha na wachezaji wake kama alivyo Gamondi.
Kwa furaha hii, tuendelee kuiona Yanga ikichukua mataji baada ya mataji.
Na Jumamos ijayo Vital'O ya Burundi...
Azam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A)
Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024.
Tayari...
Ligi Kuu ya soka nchini imeanza rasmi leo kwa Pamba Jiji kutoka suluhu na Prisons ya Mbeya, vijana wengi mnaweza msiijue sana historia ya Pamba ya Mwanza, nitakuja kuwaeleza siku nyingi kuhusu...
Uongozi wa simba SC umefikia makubaliano na Ayoub Lakred kuachana.
Ayoub ameitumikia Simba kwa msimu mmoja na kuifanya timu hiyo kushika nafasi ya tatu kwenye Ligi.
Naelewa kuwa Simba SC...
MZAMIRU YASINI NI ROHO KWENYE KIWILI WILI CHA SIMBA.
Acha na zile Assist za Clatous Chama acha na ile mikimbio na press za Ntibazonkiza acha na zile Hat trick za Beleke ila pale Simba SC Tanzania...
Match Day
⚽ Azam FC vs Yanga SC
🏟️ Benjamin Mkapa Stadium
🛡️ Community Shield.
📅 11.08.2024
⏰ 7:00pm
#Daimambelenyumamwiko#
Tukutane saa Moja kwa Updates...
Mwanzo mwisho!!
Kikosi Cha Yanga...
Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko
Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze...
Tangazo la BOOST limewekwa vibaya kwenye karatasi nyeupe na kubwa mno kiasi kwamba limechafua jezi. Jezi za 45,000 kila moja lakini watu wanaogopa kuzivaa kwasababu ya mtangazo mkuuubwa sana...
Ndani ya Miezi miwili kwa Makusudi, kwa Jeuri na Dharau zake aliamua Kuwazimia Simu Viongozi wa Simba SC kila walipomtaka ili wazungumze Mkataba wake. Baada ya kuona Viongozi wa Simba SC nao...
Mchezaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Pyramids fc. kwa sasa anazungumziwa kumfuata kocha wake wa zamani Nasreddine Nabi. Nabi ambapo kwa sasa ni kocha...
Simba kabla ya kumsajili Leonel Ateba ilikuwa imepiga hodi kwa Al Ittihad ya Misri kuulizia uwezekano wa kumsajili straika tishio wa Angola, Agostinho Cristovao Paciencia 'Mabululu', lakini ghafla...
"Simba hawawezi kushindana na sisi, Yanga wanaweza na ndio washindani wetu wakubwa....kutufananisha sisi na Simba kwa sasa ni kifo na usingizi...hawana timu kwa sasa."- Hasheem Ibwe, Msemaji wa...
Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli.
Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya...
Ninawapongeza sana kwa mwanzo mzuri wa ligi ya NBC 2024/25 kwa kutoka sare na Tanzania Prisons uwanja wa Kirumba.
Mmecheza kandanda safi na kwa mwendo huo tuna matumaini mtaendelea kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.