Kuna sehemu Simba haipo sawa tena kwenye uongozi wa juu,wale wawili hawaelewani Mangungu na Mo Dewji haziivi kabisa,hata ukiangalia kwenye Simba day hawakuongea kabisa,viongozi hawaelewani hata...
Wadau hamjamboni nyote?
Mounir Nasraoui anaripotiwa kuwa katika hali mbaya baada ya kushambuliwa katika mji ulioko kaskazini mwa Barcelona.
Mounir Nasraoui, baba wa nyota kijana wa timu ya taifa...
𝗥𝗘𝗖𝗢𝗥𝗗: Real Madrid inaandika historia ya kuwa klabu ya kwanza kutwaa mataji mengi ya UEFA Super Cup (mara 6)
Real Madrid imetwaa kombe la UEFA Super Cup kwa mara ya sita kufuatia ushindi wa 2-0...
Leo saa 4:00 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki, kutakuwa na pambano la Uefa Super Cup katika dimba la taifa la Poland.
Bingwa wa Uefa Champions League atamenyana na bingwa wa Uefa Europa...
Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuridhia ombi la mchezaji Israel Mwenda kuondoka klabuni hapo baada ya nyota huyo kudai kuwa amepata timu nyingine
Taarifa ya Wekundu hao wa Msimbazi imebainisha...
Nikiambiwa kwa sasa nitoe Alama za Kikosi cha Simba SC cha sasa baada ya Kukiona natoa ni 10% tu, ila 90% Kibovu.
Soma Pia:
Mashabiki wa Simba tukatae kukosa weledi kwa viongozi wa timu
Mangungu...
Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa:
1. kila...
Hata kusalimia sisalimii kifua kimenibana kwa uchungu ,hivi hawa Utopolo wanapata wapi wachezaji jamani haiwezekani kila mchezaji wakichukua anakua moto yaani hawakosei na kama wakikosea basi...
Kuna taarifa kuwa boss wa AS Vita Club amemvutia waya Engineer Hersi kumweleza kuwa mchezaji Elie Mpanzu (wabongo wananwita Elia) amerudi Congo na hajafanikiwa kusajiliwa Belgium.
Boss huyo...
Baada ya Engineer kuvutiwa waya jana na kuelezwa kuwa Elie Mpanzu yuko tayari kujiunga na Yanga endapo atahitajika, leo Master Gamondi amemthibitishia Engineer kuwa hahitaji kuongezewa nguvu...
Naona recruitment ya simba ipo Cameroon, Nigeria huko ila humu humu kwenye NBC Premier league kuna vyuma.
Kuna mtu anakula pesa za Dewji kwenye foreign players recruitment, amini.
Hivi Simba...
Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma"
Fausty Mkandila, wakala wa Fabrice Ngoma.
Maoni yangu : hili linawezekana kwa asilimia mia kama waliweza kumlipa Mgana...
MwenyeziMungu hapendezwi na kuombea mtu mabaya yamfike, anawapenda watu wanao omba na kuombea mema/kheri.
Simba wamekuja na ujinga wa ubaya ubwela msimu huu na kusahau kuwa kuombea watu ubaya...
Imane Khelif (25) mwanabondia kutoka Algeria amefungua kesi ya madai ya uonevu mtandaoni kufuatia sakata la jinsia katika Michezo ya Olimpiki Agosti 9, 2024
Miongoni mwa watu waliotajwa katika...
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Michael Owen ametabiri Arsenal kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu ujao wa 2024/2025 huku akishindwa kuiweka Man United katika orodha ya...
Wakuu umofia kwenu.
Kwa sasa sote tunajua namna gani yanga imekuwa na wachezaji imara na ushindani mkubwa wa namba kiasi kwamba ukipewa nafasi tu unakaza kweli kweli
Well kutokana na falsafa ya...
Habar Wana jamvi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu watu Kama GENTAMYCINE mnaweza kuwa na majibu kwamba Simba inaenda kutumia uwanja wa KMC hadi siku ya daby imeona uwanja wa Kwa mkapa matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.