Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nilivomuona sio mtulivu. Au labda hajawahi kuwa coach mkuu popote alikuwa msaidizi huko kote alikotoka, hivi Simba hawakupata cv za coach wa maana Kwa ajili ya project yao? Coach amekuja amefanya...
1 Reactions
17 Replies
865 Views
Tayari tumewazoea, ila hatukujua kama hamjabadilika. Hakuna tamasha la Siku ya mwananchi liliwahi tamatika bila vituko, malalamiko au majonzzi katika miaka ya hivi karibuni. Mwanzo tuliamini bado...
30 Reactions
122 Replies
5K Views
Naunga mkono Simba kumsajili mshambuliaji wa Burundi Elvis Kamsoba, amemzidi vitu vingi sana yule striker wa USMA Alger Leonel Ateba Mbida. Kamsoba ana nguvu, namfananisha na marehemu Damian...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
16 Reactions
65 Replies
3K Views
Wakati simba wanasijili bila kocha tuliongea na kusema sio utaratibu ila mashabiki wa simba walitukebehi na kutubeza amekocha kocha kuna baadhi ya wachezaji amesema haridhishwi nao kama lakred...
7 Reactions
22 Replies
898 Views
Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni. Mzize alifunga bao la nne na la mwisho kwenye ushindi wa mabao...
1 Reactions
17 Replies
917 Views
“Siku ya Mwananchi Uwanja Tulikabidhiwa saa 6 usiku, kama ingekuwa simba ndio wamekabidhiwa ule uwanja muda huo asubuh kila mtu angeshika kichwa, wangefanya mambo ya hovyo kwasababu wana maboss...
4 Reactions
17 Replies
653 Views
Kushinda aje? Baada ya mizunguko yangu ya leo, nimerudi magetoni nawasha Tv supersport 9 nakutana na highlights za mashindano mbalimbali ya olimpiki yanayoendelea nchini Ufaransa katika jiji la...
5 Reactions
27 Replies
942 Views
Wakati sherehe za kufunga michezo ya Olimpiki zikifanyika mjini Paris, wanariadha watatu wa DR Congo wametoweka tangu Jumapili hii, siku ya mwisho ya michezo ya 33 ya Olimpiki. Jamhuri ya...
2 Reactions
20 Replies
847 Views
Yanga imechagua professional football over drama na traditional ways of doing things na kimsingi wapo serious . Hakuna mambo ya ulaghai. Kalumanzila na mpira wa mdomoni.. everything ni kwenye...
28 Reactions
52 Replies
2K Views
Hongera sana Young African kwa kiwango bora na chakushangaza. Hakika hakuna timu ya kuifunga Yanga hapa Tanzania. Hatua hii ni kutokana na uongozi imara usio na tamaa. Simba S.C sio kwa ubaya ila...
4 Reactions
11 Replies
562 Views
Wakuu Hii klabu haiishiwi vituko kwa kweli Baada ya kupoteza pesa kucheza misri na madereva taxi na kurudi kukalia bomba la yanga huku wakijitapa kuwa "wamekalia kimoja tu" Sasa wameona rasta...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Tajiri keshajua kuwa anamiliki Timu yenye Majuha wengi na Mashabiki wenye Ujuha ndiyo maana anafanya alitakalo.
3 Reactions
11 Replies
801 Views
Ile mechi ya derby Simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama. Inadaiwa Wachezaji 5 wa Simba, Chana, Manula, Saidoo, Inonga na Baleke, walituhumiwa kupokea kiasi kikubwa cha pesa toka jangwani...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Halafu Wenzetu wakiwa Kutwa wanatucheka JF kuwa hatuna Akili tunakuja hapa Kuwalaumu wakati wako sahihi 100%.
6 Reactions
12 Replies
751 Views
Kama nilivyosema hapo juu hii simba itaendelea kuchezea vichapo mpaka akili za mashabiki wa simba ziamke kwamba muhindi na mpira wapi na wapi. Wachezaji wote wa Simba usajili wao ni million 100...
3 Reactions
8 Replies
770 Views
Mwambieni yeye ni mchezaji wa kawaida sana, anachofanya ni kuharibu carrier yake. Mmwambie pia mashabiki tulishangaa sana kwanini aliongezewa mkataba mbali na kuwa na mchango mdogo sana kwenye...
23 Reactions
78 Replies
3K Views
Wakuu kwema, mimi mkamaria ninayetumia 1xbet, wakamaria kama mnavyojua tunakula sana za uso... Mimi siyo mwandishi mzuri tuvumiliane Siku moja nikakaa chini nikafikiria namna ya kupata pesa...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Nimemuona Chama akikizungumza vizuri kweli kweli, pia nimemuona na Aucho nae akikizungumza vyema tu ila Kubwa kuliko Mtu ambaye sikutegemea kutokana na kuwa na mambo mengi Bernard Morisson nae...
5 Reactions
12 Replies
674 Views
Back
Top Bottom