Jana vijana wa Ultrasound waliwatoa ulimi kweli kweli vyura wakongwe bado kidogo watapike nyonga. Baada ya mechi tuliwaona kina Mzee Aucho viungo vyote havifanyi kazi hata kutembea kwenda vyumbani...
Kumekuwa na mgongano wa maslahi binafsi ya wachezaji na maslahi ya kitimu ndio yanasababisha hizi kelele, Wachezaji wanaogopa sana kuanzia benchi au / na kupewa muda kidogo sababu mikataba ikiisha...
Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika.
Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji...
Kwa UPUMBAVU niliouona nina uhakika Alama zangu zote 6 naziacha kwa Yanga SC ( nikimaanisha Nakandwa ndani nje ) na Alama zangu 4 ( nikimaanisha Azam watanifunga Mechi moja na nyingine...
Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani.
Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio...
Letsile Tebogo (21) kutoka Botswana amekuwa Mwafrika wa kwanza kushinda medali ya dhahabu mbio za mita 200 kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki Agosti 8, 2024.
Amefanikiwa kuvunja rekodi ya...
“Napenda kucheza aina hii ya mechi, tumecheza na Simba sasa Azam ni kipimo sahihi kuelekea msimu mpya, tumekuwa na mwendelezo mzuri tokea tumecheza fainali Zanzibar, napocheza na wapinzani wagumu...
Leo aubuhi nimefuatilia shindano la Olympic kule Paris la mbio ndefu ya kilomita 42 na mwanariadha Ndugu Simbu akiwa mshiriki toka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa kweli matokeo yake hayakuwa...
Ufuatao ni mpango wa ushindi baada ya kuona Watanzania hatuna lengo la kufanya vizuri na tumekuwa wasindikizaji kila olympiki na tumebakia kukumbukia ushindi wa 1980.
NADHARIA INAAYOONGOZA: Kwa...
SIAMINI kabisa kama mpango wa Clatous Chota Chama kutoka Simba kwenda Young Africans una baraka za kocha Miguel Gamondi. Naamini hii ni mipango ya siasa zetu za kuoneshana ubabe, kuoneshana uwezo...
FAHAMU THAMANI YA MEDALI ZA MICHEZO YA OLYMPICS 2024
1. Medali ya Dhahabu
Thamani: Tshs. Mil 2.56
Uzito: Gramu 529
2. Medali ya Chuma
Thamani: Tshs. Mil 1.3
Uzito: Gramu 525
3.Medali ya Shaba...
that's the thread.
⚡⚡BOKA BOLT ⚡⚡
Big signing.
He had a slow start in the team. We thought Kibabage would keep the number.
He proved us wrong. I had doubted him, not anymore.
Kiukweli inafurahisha sana kuona subs zinafanyika haraka haraka bila kupoteza muda. Niwaombe tu mjitahidi mlete na poda za kuchorea sehemu ya wachezaji kusimama wakati wa fouls na mpira...
Today I just watched the worst match among top teams in Tanzania.
Coastal Union can't coordinate 5 passes, and today it's going to CAF. And do what?
Singida or KMC could have done a better job...
Beki wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk (33) amesema licha ya kuwa mkataba wake umesaliwa na Mwaka mmoja, hajapata mkataba mpya hali ambayo inaonesha dalili kuwa inawezekana maisha...
Ofisa mtendaji wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' alishindwa kuvumilia hadi dakika ya mwisho ya mchezo wa fainali Ngao ya Jamii, na badala yake aliamua kuondoka uwanjani.
Soma Pia: Full Time...
Ukiichukia hii timu Awana habari na wewe,,na Wala sio shida zao itakulazimu uukubali ukweli tu maana Amna namna yoyote Ile utaitumia kujifariji, Wao wanachokifanya ni kuacha miguu yao iongee na...
Kesho ni fainali baina ya Yanga vs Azam, mchezo utakuwa mgumu lakini mwepesi sana kwa Azam, kinachonipa matumaini ni kuwa wachezaji watano wa Yanga wanaowategemea yaani Aucho, Aziz Ki, Max...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.