Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka...
𝗙𝗔𝗥𝗛𝗔𝗡 𝗞𝗜𝗛𝗔𝗠𝗨: 𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗘 𝗡𝗜𝗡𝗜.....?
Lazima tufanye research juu ya Wachezaji wa Kimataifa wanaosajiliwa Simba kwanini 80% wanafeli licha ya kuwa wanakuja na profile nzuri saana? Kosa wakishatua...
Japo Mimi ni mchambuzi na sina timu kama kawaida yetu ila leo naomba ku-declare my interest kwa kuipa ushindi Yanga Kwa kosi zito walilonalo wananchi. Ni zito kucheza na Simba, naona Simba...
NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC
"Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje...
Shirikisho la soka duniani ( FIFA ) limeitaka klabu ya Yanga kuilipa kiasi cha USD 80,000 sawa na Tsh Milioni 216 klabu ya Bechem United ya nchini Ghana ,pesa ya malipo iliyosalia katika uhamisho...
Huyu engn namheshimu sana
Sio tu kuipandisha Yanga iwe juu pamoja na kuipa thaman yake..Yaan hivi sasa akijipendekeza mtu kutaka mchezaji yanga ajiandae na billion plus
Heshima kwako kaka Injini
Tuweke takwimu sawa na safari ya vilio na mbiu dhidi ya marefa kutoka kwa mashabiki vianze
Goli alilofunga Ngushi dhidi ya Dodoma Jiji ni clear offside Sasa sijui tuendelee kubaki kwenye makosa...
Nabi
Yanga 1-1 Al Hilal
Al Hilal 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Club Africain
Yanga 0-2 Viper
Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana.
Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana...
Nimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama....
Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua...
"Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefikia makubaliano nje ya mahakama katika shauri la madai lililokuwa limefunguliwa na kampuni ya Romario Sports 2010 Limited, kwa kuilipa kampuni hiyo deni...
“Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua...
"Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day...
Wydad Casablanca Wameongeza kasi yao kuinasa Saini Mshambuliaji Kinda wa Tanzania na Yanga Africa Clement Mzize
Offer ya Wydad Casablanca kwa Clement Mzize inatajwa ni 1.8B Salary+Signing on fees...
Hii kitu imenipa maswali kadhaa kichwani je club yetu bado ni ya wanachama au ishakua ya mtu binafsi?
imewezekanaje msimu wa 23/24 umeisha na mwingine huu wa 24/25 ume anza bila kua na mkutano...
Zanzibar ina timu za mpira wa miguu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Mpira Afrika(CAF),yaani Shirikisho na Klabu Bingwa.
Pamoja na kuwa na uwanja wa Amani ambao umetumia...
Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu...
Habari wakuu
Awali ya yote ningependa ku-declare interest kuwa nawataka Masandawana. Twende kwenye mada, imezuka mijadala mingi sana mitandaoni hususani kwa baadhi ya wachambuzi wakisema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.