“Haji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari (Alikamwe) ambaye ndiye anaisemea Klabu” Injinia Hersi
Kwa mnavyomjua...
Ngoja niendelee kujenga Kikosi changu kwani bado ni Kipya hivyo hata kama nisipochukua Ubingwa msimu huu sitojali kwakuwa nimeshawapeni Kisingizio changu Tukuka kuwa najenga Kikosi japo nimesajili...
Yanga wamekimbia Chamazi
Mpaka leo sijui nani alisema uwanja wa Mkapa ujengwe Temeke jirani na uwanja wa Uhuru zamani Taifa.
Haikuwa sahihi kurundika viwanja viwili vikubwa sehemu moja, hatuna...
Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa.
Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana...
Wakuu Kwa jinsi kikosi kizito Cha Yanga ( Real Madrid ya Africa) kilivyoshonwa Kwa mastaa wazito na kukifanya kiwe kikosi hatari Kwa ukanda huu wa CECAFA na kusini mwa Jangwa la Sahara
Kwa mfano...
Simba hawana uongozi wenye weledi Wala kocha wa level ya Simba, labda nianze kwa kusema hivyo.
Freddy Michael fungafunga wametangaza kutaka kumuuza kwa timu ambayo hawaijui kama itamsajili baada...
Kufuatia kinachoendelea pale Yanga kuhusu kurejea kwa Manara katika nafasi yake ya usemaji wa Club,ninashauri Yanga wafanye kama ifuatavyo:
1. Sababu Ali Kamwe amefanya kazi nzuri ya usemaji wa...
Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki .
Ni sawa ..
Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
Hii ni baada ya CAS kuiamuru Etoile Du Sahel kuilipa Simba Sc USD 300,000. Kiasi hicho kilikuwa ni kwa ajili ya uhamisho wa Okwi. Simba Sc iliamua kwenda CAS baada ya Etoile du Sahel kugoma kulipa...
1. Tuwe wa kweli, Simba pale nani ana profile kama Mzize? Sio simba tu hata azam fc nani? Hamna
2. ligi nzima nani? Amna.
Mzize ni bonge moja la mchezaji, ni yanga tu ina alot of stars. Na bado...
Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo...
Habari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado?
Uzi tayari.
Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu...
the new young Africans graphic designer should be fired.
what is this design?? nani ana ajili hawa watu???
angalia graphics zake.
big brand what Is this??
- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha...
Find Below : CV / Profile ya Pa Omar Jobe:-
Full Name: Pa Omar Jobe
Nick Name: 'Gambian Drogba'
Date of birth: Dec 26, 1998
Place of birth: Yundum, The Gambia
Height: 1,86 m
Citizenship: The...
Simba Confirmed new Sign of Striker. Simba has strengthened its ranks by officially confirming the signing of a talented striker from the Green Eagles.
This player has gained recognition for his...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.