Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekamilika mno kiasi kwamba kama kitaweza kutumia efficiency yake walau kwa 70% basi hata vilabu vingine vilivyotwaa ubingwa wa Afrika kama Al ahly, Wydad, Raja n.k...
Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic [emoji1082] ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo
Familia...
🚨 Transfer News Live:Arsene Bucuti To Fountain Gate🔜
Klabu ya Fountain Gate,iko kwenye mazungumzo ya mwisho kukamilisha usajili wa msemaji wa Vital’O arsene Bucuti.
Singida wamempa ofa ya...
Kumbuka Haji Manara ndio amekusaidia kuifanya yanga iwe na mafanikio haya yanayoonekana leo, wengi wanaweza wasijue lakini amekusaidia sana kujua mengi yanayohusu Simba, Eng Hersi wewe ni msomi na...
Hii mechi Nakibinge au Yona Amos walipaswa mmoja wao kuwa man of the match Mpole kaingia kipindi cha pili kakosa magoli ya wazi mengi kabisa
Anyway pamba waendelee kupambana sio wabaya
Nasikia Mabululu anapasha misuli huko tayari kupima kama nguvu mbili kweli wapo tayari kufikia level hii 😀 ameambiwa Mukwala ndiye streka tegemezi amelia sana!
Ukweli ni kwamba kama kmc wameweza kujenga uwanja mzuri vile imagine viwanja kama ccm kirumba,sokoine, jamhuri n.k vingepewa halmashauri wakarabati soka na michezo mingine ingeshamiri namna gani...
Hapo Azam kuna watu NI Simba na Yanga lialia hawana mapenzi na timu
Hapo watu wakija wanakuja kama kusomba hela tuu
USHAURI WANGU:
Kuanzia benchi la ufundi wote watoke nnje ya nchi wasiwe...
Ukiitazama Azam FC ni timu ambayo uwekezaji wake ni mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati lakini wanachokifanya ni AIBU Tupu!
Nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi yani...
GSM Kudhamini timu nyingine saba za Ligi kuu siyo FAIR. Kinachotakiwa kwa Sasa ni timu nyingine kushitaki FIFA.
Barbara Gonzalez alipambana na Hilo na akafanikiwa. Hivi Mwenyekiti wa Simba ana...
Kama wachezaji wakubwa Africa kama Aziz Ki, pacome, Aucho, Yao, Diara , nzengeli, che Malone, Dube wamekuja kucheza Tanzania unataka mchezaji mdogo kama Mzize aende nchi gani Africa? Ni timu...
I will be short.
Dabo is required to make Azam fc qualify for the group stage or compete with pyramid fc at high level to satisfy the board and the owner, so as to keep his job.
Reports: Fans...
A lot of high-ranked members in Azam FC are calling him off the Azam FC project.
He has proven to be a failure each and every season, despite creating a lot of talented youth teams. Possibly, he...
Kipindi Yanga inajitafuta kabla GSM hajaokoa jahazi.
Kipindi yanga iko hoi kiuchumi kulikuwa na huyu kocha Mwinyi Zahera, tuliambiwa kuwa alikuwa akuwanunulia chakula Yanga na kulipa posho pale...
Kwa utoto alioufanya Azam msimu uliopita akashindwa kufuzu shirikisho vs sijui kale ka timu ka wapi sioni Azam akicheza champions league msimu ujao
Azam akishinda mechi ya kwanza hatua za awali...
Hii ni moja ya timu zinazonivutia sana kwenye ligi kuu uingereza nje ya kushabikia Chelsea. Sera yao ni kukuza na kulea vipaji pamoja na kuuza kama anapatikana mteja. Kinachonivutia zaidi ni namna...
Nafahamu undani wa Suala la Yusuf Kagoma, ni kweli Kagoma alisaini mkataba Yanga, na baadae akasaini Simba.
Najua kutokwenda kwake Yanga na badala yake kusaini Simba hata sio Masuala ya Fedha...
Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.
Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na...
Naiona mbali sana kesho dhidi ya Fountain Gate sijuwi golini atakaa nani, mbavu za kulia na kushoto atakuwa nani, mabeki kesho ni nani, nani atacheza na Che Malone baina ya Chamou na Hamza, je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.