Nasikia ulijiapiza kuwa ligi ya mabingwa Caf kuwa unataka uwaonyeshe Simba na Yanga mpira unavyochezwa.
PIA SOMA
- News Alert: - FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg|...
Nikiwa kama mdau na mshabiki wa soka la Tanzania, nami nimewiwa kuchangia hili kwa maendeleo endelevu ya soka la klabu ya Yanga na Taifa kwa ujumla
Nashauri klabu ya Yanga ilete kocha kijana...
Kwa nafasi ya uwakilishi wa kuwa na timu nne bado tumeshindwa kuwa na timu zenye ushindani. Timu zinazopata nafasi ya kuwakilisha nchi kwa michezo ya kimataifa hazijajianda au hazina utayari zaidi...
Chelsea imeonesha nia ya kumsajili winga wa Manchester United, Jadon Sancho ambaye pia anawaniwa na Juventus.
Inadaiwa kuwa Raheem Sterling wa Chelsea pia anaweza kuwa sehemu ya dili...
Nimeona mashabiki na wanachama wa Simba wakifurahia kupitia kiasi ushindi wao wa mechi 2 dhidi ya wagonjwa TABORA united na singida FOUNTAIN GATE lakini Kuna wengine wanaoujua mpira Wala...
Habari wadau....Hawa Azam fc walichukulia poa sana CAF champions league mapema tu wamerudi nyumbani, ikiwapendeza sisi Simba watupe Feisal na sillah kwakuwa hata kwenye ligi msimu huu watashika...
Sawa Azam walishika nafasi ya pili sisi tukaumia sana lakini tukumbuke sisi tulijiumiza wenyewe, sisi hatukuwa watu wa kushika nafasi ya pili, hata sasa hivi tunakwenda vizuri lakini mbeleni huko...
Yaani ipo hivi kwanini serikali isitumie ligi yetu ya mpira kutajirisha watanzania kwamba siku zicheze simba na yanga halafu zote zifungwe Kila mtu abeti mpunga wa kutosha hamuoni kama hapo...
Sio kwania mbaya ama nawatisha vizuri mkawa sawa kisaikolojia. Baada ya Azam FC kutupwa nje na APR ya Rwanda katika mashindao ya CAF Champions ligi . Wanaofwata ni Simba SC katika kombe la...
Haiwezekani timu ikawa na kila kitu lakini wachezaji wanacheza utadhani wamefungiwa matofali miguuni,
Timu ina miundombinu ya kisasa kabisa kama vile uwanja mzuri, Gym nk
Wachezaji wanalipwa...
Gamondi, Hersi, piteni na hii:-
Max Mpia Zengeli Ni mchezaji mzuri sana ila ana mapepe, sio mtulivu, ana papara anataka kufunga muda woote kumbe kazi yake ni kutoa pasi zenye macho, unashangaa...
I said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager.
Azam FC and Dabo's business is over.
Sikia kisa cha Joseph Minala kiungo raia wa Cameroon aliwahi kukutana na changamoto ya kuhisiwa kudanganya umri wakati huo ambao alikuwa anadai kuwa na umri wa miaka 17.
Vyombo vya habari vya...
Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga?
1. YANGA
2. SIMBA
Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
Kama kawaida ya wahasibu wa Tanzania, ambapo hua tunasomea na kuchambua mpira, Mambo ya kihasibu, yaani kuhesabu mafaranga njoo kama vile tuliwachambulia Kwa Aziz Ki.
Kwahiyo uelekeo wa CPA ndio...
Karata kwa Tanzania zimebaki kwa timu tatu baada ya Azam kuondolewa mashindanoni jana, niliwahi kuelezea hapa namna mashabiki walivyo na nguvu lakini sikueleweka wajuaji wakaniponda sana, APR kule...
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe leo ameonesha uwezo wake wa kulirudi sebene jukwaani kwenye shamrashamra za kilele cha Tamasha la Kizimkazi visiwani Zanzibar.
Pia soma: Rais Samia...
Kwa muda mrefu, hayati Hafidh Ali alikuwa anaonekana kama taswira ya waamuzi bora kuwahi kutokea Zanzibar, akiaminiwa na IFOZA wakati huo na baadaye ZFA na sasa shirikisho la Soka la Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.