Jamani naombeni wana yanga mje kwa wingi mnitoe hofu yangu pengine yakawa ni mawazo mabaya tu ndo mana nataka wanaomfahamu vizuri Maximo waje watupe data sahihi.
Naomba kujua baada ya Maximo...
Kuanzia Sol Campbel,Kevin Campbel,Fraizer Campbel, Joel Campbell hadi mwanamitindo maarufu Naomi Campbel. Wote ni weusi, kiukweli sijawahi kusikia jina hili kama ubini wa supastaa yoyote mzungu...
AVEVA KUFURU: Rais wa Simba SC, Evans Aveva, ameanza kuonyesha makali kwa vitendo baada ya kulipa mishahara ya wachezaji wote wa timu hiyo
na benchi la ufundi! " KAZI imeanza babake ! Wakati...
Soma moja ya vituko vya kombe la dunia kutoka kwa mwnaume huyu wa India.
Husband's Note for his Wife
The Fifa World Cup is going on.. Let me give you a few rules that will preserve your...
Inawezekana ikawa timu pekee iliyobakiza wachezaji wengi kwenye Robo fainali katika Kombe la Dunia linaloendelea huko Brazil - Hii ni faraja kubwa na Club ya Chelsea, wapenzi na mashabiki kote...
Russia 2018 World Cup
In this handout artists impression provided by the Russia 2018 Organizing Commitee, the Kaliningrad Stadium is shown as proposed and presented as part of the Russia 2018...
Msimu mpya unakaribia Kuanza,mchezaji anayefikiria kuhujumu timu Kama msimu uliopita ni bora aondoke zake mapema.hatuwezi kuvumilia kumfunga Simba goli tatu na zikarudi zote kipindi cha...
Wachezaji wa Ujerumani waugua mafua
Wachezaji saba wa Ujerumani, wanaugua mafua , saa 24 kabla ya mechi yao ya robo fainali dhidi ya Ufaransa.
Kocha Joachim Low anasema kuwa wengi wanaumwa...
Kwa kile kinachoonekana gazeti la mwanaspoti kuongeza matoleo katika wiki na kua mara 4 kwa wiki, kitendo hicho kimezua hasira kwa mwandishi nguli na mhariri wa championi bw salehe ally ambaye...
Japo sijachelewa sana na wala pia sijawahi lakini ushauri huu wanaweza wakauchukua na kuutumia hata wakati ujao, kwa maoni yangu ya kuongeza ubunifu zaidi na mbwembwe na muonekano murua kabisa wa...
Kwa mnaofatilia kombe la dunia mtakuwa mnajua nini waholanzi wanakifanya chini ya kocha wake mahiri Van gaal, chini ya nahodha wake makini Van Perse, kwa mnaoweza kuunganisha dots mtajikuta...
An amateur soccer referee who was punched in the head while refereeing an adult-league soccer match on Sunday has died.
John Bieniewicz was refereeing an amateur match at a park in the Detroit...
Reality show kubwa zaidi Afrika iko karibuni na wakenya wameanza kutoa mawazo nani anayeonekana bora kwa mashindano hayo.
Mwaka jana Kenya iliwakilishwa na Huddah Monroe na Annabel Mbaru ambayo...
Cameroon are to investigate claims that seven of their players were involved in match-fixing at the World Cup, the country's football federation Fecafoot said on Monday.
Fecafoot said it had...
Napenda kujua FIFA wanatumia vigezo gani kuchagua idadi ya timu kwa kila bara!
Ukiangalia Africa kuna nchi zaidi ya 50 ila zinachaguliwa timu tano!
Ulaya sina uhakika na idadi yao ila...
Quarter final
Brazil vs Colombia
Winner brazil
Netherland vs costarica
Winner Netherland
France vs Germany
Winner germany
Argentina vs USA
Winner Argentina
Semi final
Brazil vs Germany...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.