Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
How to Watch the World Cup Like a True Soccer NerdUnderstanding the brainy side of the beautiful game BY MIKE L. GOODMAN ON JUNE 6, 2014PRINT There is a point of view among some soccer fans that...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ikiwa ni round ya mtowano ikizidi kutimua vumbi katika fainali za 20 za kombe la dunia uko brazil shirikisho la mchezo uwo fifa limeonyesha mashaka kuhusu matumizi ya fedha zake ambazo huzitoa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
USAJILI: Beki wa Southampton Luke Shaw amesaini mkataba wa miaka minne kuitumikia Manchester United atakuwa akilipwa pauni 100,000 kwa wiki( milioni 230). === Manchester United have confirmed...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maximo hatimaye amesaini mkataba mnono wa kuifundisha Yanga kwa miaka miwili. Hongera sana Maximo, binafsi nakutambua vyema na una NIDHAMU kubwa sana ya mpira ambayo wachezaji wetu wengi hawana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Timu ya Nigeria imegoma kufanya mazoezi kukabiliana na ufaransa ktk round ya pili kisa wanadai hawajalipwa posho.RFA NEW
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Who is the Funniest MAN AMONG THESE MEN? 1. A Kitui man who removed his shoes to enter a taxi..... 2. A Meru man who went to the bank with a spanner to open a bank account. 3.Mombasa man who...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeangalia michezo hii na hususani huu mchezo ulioisha hivi punde kati ya Greece na Ivory Cost na hiki kilichofanyika ambacho kimejionyesha wazi kwa kugawa Penalt kwa mtu kuchimba chini yeye...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Mahakama Kuu Dar leo yatupilia mbali ombi la wanachama 3 wa Simba SC la kuzuia uchaguzi mkuu wa klabu hiyo. Wawili wazimia kwa mshtuko. Chanzo:mwananchi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kesi yakuzuia uchaguzi wa Simba inaendelea mahakamani muda huu, endelea kufuatana nasi na uwe wa kwanza kuhabarika na kesi hii inayosubiriwa kwa hamu na wanamichezo Tanzania
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NDUMBARO AENDA KUMSHITAKI WAMBURA: Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, Damas Ndumbaro, amepanda ndege kwenda Fifa kumshitaki Michael Wambura!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Luis Suarez was on Thursday handed a four-month ban from all football-related activity after being found guilty of biting Italy defender Giorgio Chiellini in Tuesday's World Cup clash in Natal...
1 Reactions
83 Replies
8K Views
KOCHA JKT RUVU AWAITA CHUJI, LUHENDE: Kocha wa JKT Ruvu, Fred Felix Minziro amewaita kiungo mkabaji, Athumani Idd na David Luhuende kwenye kikosi chake.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hayawi hayawi...hatimayee leo yamekuwa , mida hii Marcio MAXIMO kawasili hapa Mwl.Nyerere Int. Airport (JNIA) kuitumikia klabu ya YANGA kwa mkataba wa miaka miwili.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kaka ama unatumuka au hujui nini maana ya kuwa mwandishi wa habari, Katika watu walio enda mahakamani wote wamejiandika majina yao na kadi namba zao, je umeliona ama umesikia kesi waliyo pelaka...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
LeBron James Reportedly Opts to Become Free Agent: Latest Details, Reaction As a free agent, LeBron can put pressure on Heat ownership to commit to spending more to build roster. Opting in, he...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Putin bwana! Baada ya Russia kutolewa kwenye michuano ya world cup pale Brazil kwa kupitia sheria za FIFA, Rais Putin amepinga na amesema atatumia jeshi kuhakikisha Russia inabaki mashindanoni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WACHEZAJI 11 waliochezea Yanga msimu uliopita wameondolewa kwenye kikosi cha timu hiyo siku moja kabla ya ujio wa Mbrazil Marcio Maximo. Yanga inatarajia kumtangaza rasmi Maximo anayetua nchini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana tulisikia leo mahakama kuu itatoa uamuzi, walioko huko watupie maamuzi ya hukumu tujue.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A Norwegian football fan has scooped a cool £500 after betting on Luis Suarez to bite somebody at the World Cup in Brazil. Suarez has twice been spotted biting opponents in recent years, so the...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Back
Top Bottom