Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
2014-06-26 14:29 MAXIMO ATUA DAR Kocha Mkuu mpya wa Yanga Marcio Maximo atua JNIA punde tayari kuanza kukinoa kikosi hicho, aongozana na msaidizi wake Leonardo Neiva Martins. Je, kuna lolote...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi nimesikitishwa sana na hawa jamaa zetu Azam kushindwa kabisa kuonyesha mechi za kombe la dunia. Azam wana stations 3 kwenye king'amuzi chao kuanzia ile ya info, one and two. Wana...
1 Reactions
61 Replies
10K Views
Naulizi hivi, kwa nini nchi za Afrika mashariki hazishiriki kombe la dunia?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mchezaji mahiri mwenye matata wakati mwingine amemng'ata mchezaji Italy leo. Kwa kweli sijui alikuwaje mpaka akafanya hivyo. Huenda akibanwa Sana anaghafilika wakati mwingine. Namsikitikia yeye...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Wale wapenzi wa La liga na EPL mkome kutupigia kelele usiku.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nashangaa kipindi cha simbatv kinachorushwa na azamtv kutokua na mabango ya wadhamini wa hiyo timu kama azamtv vodacom kilimanjaro beer naomba ufafanuzi kwa wahusika.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale mliosoma msingi miaka ya 80's I hope mnazikumbuka njumu flani maarufu kwa jina la abedi mziba. Hahaha nakumbuka jinsi nilivyokuwa nazitunza. Dah kweli siku zimeenda. Kwa wale wenzangu na...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Vuta Picha Ni Kitu Gani Kingemkuta Luis Suarez Kama Ingetokea Angemng'ata RHINO GATTUSO.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dr. Leakey, mchambuzi nguli wa soka tunakosa busara zako,utaalamu wako,burudani zako na mafunzo yako. Popote ulipo rudi kwenye game ya uchambuzi, awa wachambuzi wa siku izi hawachambui soka ila...
3 Reactions
110 Replies
13K Views
Simba SC imetangaza kuachana na nyota wake Haruna Shamte, Henry Joseph, Ramadhan Chombo na Uhuru Seleman waliomaliza mikataba yao! === Tetesi YANGA KUMFILISI OKWI: Mbali na taarifa kuwa Yanga...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Samahani wanajamii forums kwa kutanguliza hisia zangu mbele hii nikutokana na magoli ya kipuuzi tunayofungwa wafrika kwenye world cup. Ivory coast wanatoa pasi kwa adui na tunafungwa goli la kipuuzi.
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Wakuu, salaam! Soka ni mchezo unaopendwa sana na watu wengi duniani kiasi kwamba hata afghanistan wanaamua kusitisha mapigano kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia zinazoendelea kutimua...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Kimsingi waafrika tulianza kwa kukata tamaa lakini naona upo uwezekano mkubwa timu 4 za bara letu kufuzu hatua inayofuata; Nigeria ikiwa ina point 4 inahitaji sare ya aina yoyote ili kufuzu...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama ilivyo kwa wachezaji wengi wa Brazil, mshambuliaji Neymar anatumia jina moja tu kwenye jezi yake. Jina lake halisi ni Neymar da Silva Santos Junior. Wachezaji wengine wa Brazil waliopita na...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Ombi la kutaka refa Peter OLeary kuondolewa katika listi ya kuchezesha mechi kwenye michuano ya Kombe la dunia limepata sahihi elfu 20 kutoka kwa mashabiki wa Bosnia kutokana na kitendo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Mchezaji wa kwanza kupewa red card w.c ni Pepe wa Portugal..Real Madrid. 2. Mchezaji wa kwanza kujifunga mi Marcello wa Brazil..Real Madrid 3. Golikipa alie bugizwa magoli mengi w.c ni Iker...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Amekuwa mchezaji wa kwanza kwa kombe la dunia 2014 kuwatembelea watu wasiojiweza mitaani na kugawa fedha. Vyombo mbalimbali vya habari duniani vimemtaja sulley muntari kuwa mwanasoka bora wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirikisho la soka nchini Ghana limewataka maafisa wa polisi kuingilia kati baada ya madai ya vyombo vya habari vya Uingereza kwamba mmoja wa maafisa wake alikubali timu ya nchi hiyo kucheza...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Hivi TBC imekuaje mmeshindwa kumuweka dr. Leakey hapo akatupa michapo ya soka hao jamaa mliotuletea hapo hawana jipya wanaongea yaleyale tunayoongea sisi huku watazamaji kama kuna uwezekano round...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Costa Rica's football federation has sent a letter to FIFA demanding an explanation for why so many of its players were required to submit to anti-doping controls after a surprise victory over...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Back
Top Bottom